In 2015/16 the University of Manchester is offering masters scholarships for the following distance learning programmes to applicants from Tanzania:
MSc Human Resource Management and...
Wadau wa elimu habari!
Samahani mimi ni Mtanzania niliepata elimu yangu ya form four mwanzoni mwa miaka ya 2000 na kupata div 3 ya point 25, nikafanikiwa kuendelea na kidato cha tano, lakini...
habali wapendwa naomba mnisaidie mdogo wangu ameapply tcu nikiangalia kwenye profile yake mwishoni kabisa kuna kisehemu kimeandikwa huo ujumbe hapo juu {you have been succesiful selected}ila...
Naombeni msaada tafadhari kwa yeyote anayesoma, aliyesoma, au anamfahamu mtu yeyote anayesoma muhimbili university anicherk katika namba hii kuna baadhi ya mambo nataka kuzungumza nae...
Jamani kwa anaye faham hii fakat inaitwa "rulal development" iko vip soko la ajira,,maeneo unayo weza fanyia kazi mshahar wake uko vip tusaidieniii plz na ugumu wake uko wap
Wakati wa bunge la bajet kuna mbunge alismama na kuhoj kwann kuna tofauti ya ada katika vyuo vkuu tz kwa Course za aina moja mfano utakuta B.A in Ed kwa Udsm labda n Lak6 lakn kwa Course hyohiyo...
Jamani mimi nimepangiwa mpwapwa kusomea diploma ya ualimu awali ila nateseka kupata joining instructions hata kwenye web yao ambapo mkuu wa chuo ananiambia ipo naona fee strutures na sio joining...
Habari za jioni wanajamvi!naomba anajua kama kuna course ya Automotion kwenye electrical!au plc kwenye viwanda ndo inatumika sana!anayefahamu naomba anipe utaratibu!nawasilisha
Jaman mwenzenu ni mvulana na nimechaguliwa mtwara TC
Ni mgeni sana wa hayo mazingira, kiufupi nahitaji rafiki wa kike atakae kua kampani yangu kimasomo wakati wote ntakapokua chuoni, awe na...
Wakuu hicho chuo university of Iringa mnakionaje?
Kwa wanao kifahamu kipo vizuri upande wa academic maana nataka nikapige bachelor of education with mathematics
Jamaan naomben msaada kwa maana mimi niliapply 2 round ya chuo mwaka huu ila kulikuwa na program za hovyo ikanibid ni apply hivyo hivyo ila shida yang ni jinsi ya kutransfer chuo na fakati yake
Wadau hivi kwanini ya majority ya waliopata alama ndogo form four na form six wanakimbilia ualimu lakini wanaopata alama nzur kidogo tu hawawazi kuwa walimu wanafkiria vitu vyengine,?
N.b sio wote...
Habari zenu wakuu.... Juzi natizama taarifa habari ITV nakumbuka kama nimeskia kuwa kuna chuo kinatoa mafunzo ya aviation na masomo yanaanza august, kwa wale wenye taarifa naomba mnijuze nijue ni...
Wana JF natumaini nyote hamjambo!
Naomba kueleweshwa kuhusu na wale walioomba special program ya Ualimu mbona majina hayatoka mpaka leo kuna nini NACTE au ndo uchakachuaji wa majina?
Ni muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.