Wadau wa elimu chuo cha ualimu Tukuyu hakijapangiwa wanafunzi. Nahisi kimewekwa kando kusubiri watakao chaguliwa diploma ngazi ya sec, au cheti primary level.
Mwenye taarifa za kina atujuze.
Polen na kazi wapendwa, pia poleni na stress kwa kile ambacho wizara imefanya, kusema ule ukweli mim niliamua kuwasiliana na mkuu wa chuo Tukuyu, akanambia wakuu wa vyuo vya ualimu vyote...
Habari wana jamvi?
Kuna ndugu yangu amemaliza chuo fulani. Mara tu baada ya kuanza chuo, aliniomba nimsaidie fedha za kujikimu kwani mkopo wake haujatoka. Nilimsaidia, baada ya muda kidogo...
Namshukuru mungu sana nimekoswa na panga la serikali, nimechaguliwa kujoin mtwara teachers college, waliochaguliwa wengine tuwasiliane kupitia 0763175935
Waalimu wa shule za msingi wilaya ya Sengerema, mkoani Mwanza wamekuwa chanzo cha kufanya vibaya kwa wanafunzi wao kutokana na kujihusisha zaidi na kazi ya kuendesha pikipiki za kubeba abiria...
Kwa waliochaguliwa kozi tajwa hapo juu mnatakiwa kuomba mkopo bodi ya mikopo haraka sana, hii kwa wale wa masomo ya sayansi na hisabati tu.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 10/9/2014
Kumbuka...
Samahan ndugu zangu, nilikuwa naomba kufahamu juu ya uwalimu wa dilpoma in science wanaapply vip maana nimeshindwa kufanya transaction kati ya mpesa na bodi ya mikopo ile namba trasaction id...
nimea apply Nursing pale UDOM lakin alama zangu zinanitia mashaka sana nina chemistry E, Biology B, geography B. ( three ya 12). naweza kuchaguliwa au nisahau?
Ndugu zangu Watanzania, natoa Uzi huu kwa masikitiko makubwa.
Mi ni mwanafunzi Wa hapo st. Joseph arusha campus, typo home tunasubiri hat a yetu kwani tuligoma kuingia darasani mwezi Wa 8...
Wadau wa elimu naomba leo tujadiri faida na hasara za TCU katika elimu ya chuo kwa upnde wangu mm naona haina faida yoyote ile.... ni bora watu wangekuwa wanachukua form chuoni lakin co kupitia...
Samahanini, jamani kwa mtu yoyote anayejua Details Au kujua kuhusiana na chuo hichi Chalinze Teacher's Collage.
Tafadhali naomba msaada wa kujua ada pamoja na mambo mengine / unaweza kunipata...
wakuu naomba kujuzaw tofauti kati ya
Bachelor of Science with education,
bachelor of education in science na
bachelor of education with certain subject either mathematics, physics or chemistry...
Nimemaliza kidato cha sita PCM mwaka 2014 matokeo ni DDE.
Sio kesi xana nime aply TCU coz za education kwenye vyuo vitano vikiwemo vya private viwili.
Shida ni kwamba ata nikipata chuo nikapiga...
Habari za leo tena wanajukwaa?
Kutokana na malalamiko mengi ya ubovu wa elimu Tanzania je ni kweli elimu ya tanzania haikidhi mahitaji? Na ni zipi sifa za elimu bora? Je hizo sifa hazipatikani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.