Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Picha:Zainab Chondo Tume ya vyuo vikuu ( TCU) imetoa tamko la kusimamishwa kwa chuo kilichoanzishwa huko kimara njia ya kwenda Bonyokwa kinachojiita TANZANIA INTERNATIONAL UNIVERSITY . Tume hiyo...
3 Reactions
33 Replies
8K Views
Benjamin Nkonya Permanent Candidate Identification Number to be used by a student right from primary school all the way to higher learning institutions should be instated to stop foreigners from...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
pamoja na leaving certificates! Kama umepata nitaarifu
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau wa elimu, serikali kwa mara ya kwanza imechagua walimu kibao kusomea stashahada elimu ya awali, je waliochaguliwa ni div iv? Watasoma miaka mingapi? Wataajiriwa na serikali? Kwani shule za...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wadau wa elimu hebu tunaomba kumshauri ndugu yetu aliyehitimu kidato cha 6 na sasa hivi tupo naye jkt, nisiende mbali coz amenituma niwafikishie kwenu na mumshauri yaliyomema, kiujumla matokeo...
0 Reactions
4 Replies
890 Views
Napenda xana kuwa mwalim, ili kukamilisha malengo yang nimeweka frst choice ''bachelor of education for special need'' Hiyo coz vip inalipa au majanga?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimesubiri kwa muda mrefu sana nikijua nitachaguliwa mpaka muda wa kuapply vyuo umepita, jana majina yametoka chaajabu jina langu halipo na ukizingatia nimekaa miaka ming sana nyumban ualimu ndo...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Naomba msaada wa jinsi ya kuomba uhamisho . Shule niliyo chaguliwa iko mbali
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Majina ya chuo undergraduate tutaangaliaje au hayajatoka
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi ni kweli kwamba Chuo kikuu huria ndiko ada nafuu? Je ada Sh.ngapi kwa mwaka? Hivi mwisho wa reg. kwa foundation course lini?
0 Reactions
30 Replies
12K Views
Kwa anaye fahamu masonya secondari ipo wapi mkoa na kama kuna mtu ana mawasiliano au au nae ndugu ake kachaguliwa huko plzzzz tarfa yoyote kuhusu masonya secondary
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Habarini ndugu zangu,ninashida ya kupotelewa cheti cha kidato cha nne na cha sita sasa nimetangaza katika gazeti na nimeripoti polisi loss report ninazo,Sasa naomba juzwa nawezaje pata cheti...
0 Reactions
1 Replies
951 Views
wakuu nasikia hizi tetesi kua form 5&6 tutafanya mitihani ya mock na necta mwezi wa 2 kutokana na mambo mbalimbali serikalini mfano uchaguzi! na je kama tutafanya mwez wa 2 mtihani utatoka katika...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wakuu, Naomba msaada kujua kuhusu post graduate diploma in education. Nmemaliza chuo mwaka huu na nataka kuunganisha nisome post graduate, naomba ushauri je chuo gani naweza kusoma na...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
1. Who will I live with? Living in student accommodation for the first year at uni is the best way to meet new people. So don't worry too much who you are going to live with in your first year...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa wale walioapply chuo cha tumain kwa ngazi ya diploma degree na masters tayari wameshafanya selection ingia uchek jina
0 Reactions
11 Replies
3K Views
  • Closed
Napenda kujua zaidi kuhus uu mchepuo, tafadhar cna hata 1 kuhusu ii naomba nfafanuliwe madili yake haswa
0 Reactions
26 Replies
34K Views
majina ya waliomba course za diploma mbeya university of science and technology majina yameshatoka
0 Reactions
3 Replies
2K Views
UTAFITI uliofanywa na mradi wa PREPARE uliokuwa na lengo la kuangalia uwezekano wa vijana kupunguza ngono, umebainisha elimu ya afya ya uzazi bado inahitajika ili kuwakinga na tabia hatarishi...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Back
Top Bottom