Naomba kuuliza hiki chuo kipo vizuri, namaanisha upande wa academic ususani kwa coz za education.
Vipi kuhusu ajira kwa wahitimu wake kwenye cozi hizo za education (bachelor).
Habari wana JF nimemaliza fm 6 mwaka huu, nimepata div 3 point 10.....phy-C Chm-B Math-B
Nimeapply vyuo hivi..
1.)UDSM- CIVIL
2.)DIT-CIVIL
3.)ARDHI-CIVIL
4.)DIT-ELECTRICAL
5.)UDOM-PETROLEUM...
hilo ni jina alilopewa philosopher wa kijeruman amabaye aliishi miaka ya 1724 mpaka 1804. Jamaa huyu aliamini kuwamatendo ya watu yanaongozwa na moral laws amabazo hufanana katika jamii. Jamaa pia...
Anayefahamu kusolve matrix kwa njia ya scientific calculator naomba kuelekezwa.
Mf: kutafuta determinant, transponse na inverse!
Mnakaribishwa wote mliosoma Advance Mathematics
Wana JF Nisaidieni,
Nina mdogo wangu amemaliza diploma sasa, alikuwa anafanya, application za degree via NACTE sasa kalipia 50 mpesa ila sasa ile step ya kuweka number yake ya mtihani chuoni...
Dealers in
Research consultant (research writing, data collection, data entry and data analysis)
Field report writing
Environment Management and Livelihood facilitator
call us on:
0754 660061...
Ndugu wanajamii forum naomba kufahamishwa kuhusu wanafunzi wanajiunga na chuo kikuu huria, je huwa wanafikiriwa kupata mkopo kutoka bodi ya mikopo kama vyuo vingine?
Mie ni mwalimu sekondari mwenye stashahada, nimeajiriwa 2005 . Niliajiriwa wilaya ya mbozi kwa kutojua taratibu sikujaza mkataba wa kudumu kazini mpaka pale nilipo hamia shule ya mjini na...
Kama unataarifa zozote ni lini Lugalo Millitary Medical School watatoa majina ya walio chaguliwa kujiunga na masomo please niambie me nasubiri spati taarifa yoyote.
wana jf ningependa kujua je kama umechukua science olevel ila a- level haukuchukua masomo ya science ila o level ulifaulu vizuri science je ukitka kuchukua course za science chuo wataangalia...
Waungwana vip kuhusu hicho chuo, kuanzia mazingira ya kujisomea mpaka ubora wa kiwango cha elimu kinachotolewa hapo.
Vipi kwenye soko la ajira endapo nikisoma bachelor of education katka hicho...
Nilianza kazi mwaka 2008, 2011 nikaenda kusoma na ruhusa nilinyimwa nikatoroka kwenda Masomoni na mshahara ulikatwa.
Nimeripoti jana kwa DEO akadai nikaandike barua na isainiwe na Mkuu. Nikaenda...
Jaman naomba kama kuna mwenye orodha ya waliochaguliwa kujiung na vyuo vya ualimu ngazi ya CHETI (Grade A) na STASHAHADA atuowekee hapa, Ombi itoe kwenye PDF ili tuweze kuifungua,
Nimepangiwa K'S Royal college of medicine kipo mbeya. Kwamujibu wa cas kuwa kuna utaratibu wa kuomba udhamini kutoka Global fund na nk ,sasa me sielewi nianzie WAP? msaada waku.
Wakuu wana JF hasa wenye thinking capacity na maono ya mbali naomba mliangalie hili kwa upeo wake. Mimi sio mtaalamu sana wa masuala ya elimu but nimekuwa nikidadisi kiasi tu. Leo niomba tuchambue...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.