Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Salamu wapendwa, Kuna mambo nataka tuyaweke clear. Leo nimeletewa kitabu cha pure mathematics(combined edition) ya backhouse 1 &2. Kime contain syllabus ya East Africa(Advance Mathematics) in...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Over 300 pupils of Kinyambwiga A and B primary schools in Bunda District Mara Region study under trees while sitting on logs and stones for lack of classrooms. The schools also lack basic...
0 Reactions
3 Replies
872 Views
Ni unafiki wa hali ya juu kuuita ualimu wito katika karne hii, lazima tufike mahali ukweli uwekwe wazi hata kama unauma Ualimu ni taaluma na ndiyo maana zipo mada za sayansi ya ufundishaji na...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Jamani Naomba Kuuliza hivi watu wanaokwenda kusoma diploma MUHAS, KCMC au chuo chochote cha afya cha Serilikal. Je Ni Kweli Wanapewa Mkopo?
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Napenda kuuliza kama NBAA watatoa mtihani kwa ile syllabus mpya waliyoitangaza au ni ile ile ya zamani. Pia vituo vizuri vya kusomea CPA kwa Dar ni vp?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba msaada kwa wale waliofanikiwa au wanaojua taratibu Kwani kama mwl. huna TSD huruhusiwi kufanya taratibu za kuhama kituo cha kazi kwa kubadilishana kama kutuma barua tamisem huku ukisubir...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hadi sasa nishafikiria vingi lakini naona bado sina jibu juu ya cha kusomea maana kila nnachotaka kusomea napata wasiwasi wa kazi Jamani mliotangulia makazini,vyuoni Naombeni msaada
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Wadogo zangu ninawaangalizia selection status wengine wameandikiwa approved wengine not japo wana vigezo what does this imply
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kipindi tunatuma maombi kwenye TCU guidebook, BAED ilikuwa na mkopo, lakn uki login kwenye profile yako, utakuta kwenye chart ya possible loan pameandkwa 0, what is this!?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Closed
Kama kichwa kinavyo jieleza.Naomba kufahamu ni wapi kati ya cbe,t.i.a na iaa naweza pata elimu nzuri katika fani ya ugavi(procurement & supply management) hasa katika kiwango cha post graduate...
0 Reactions
41 Replies
13K Views
Nchi yetu ya Tanzania bado inawatu wema kwa mustakabali wa nchi hii ingawa wema hao wanakosa nguvu katika kuleta mabadiliko. Mnanmo mwaka 2008/2009 kulifanyika uamasishaji kwa wanafunzi wa vyuo...
0 Reactions
1 Replies
979 Views
Anaeifahamu kate sec school naomba kunijuza kuwa ipo wapi
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) itaandika na kuchapisha vitabu vya kiada (kitabu kimoja kwa kila darasa na kila somo) kwa ngazi za Elimu ya Awali, Msingi, Sekondari na Mafunzo ya Ualimu. Pia...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Naomba kwa mwenye nots za history au geography anisaidie pliz au kama kuna web naweza kupata hizo nots
0 Reactions
9 Replies
7K Views
great thinkers,nmechaguliwa course ya PSPA udsm lakini nataka nibadili nisome education, naomba ushauri kabla sijachukua maamuzi ya mwisho...
0 Reactions
94 Replies
12K Views
Kuna taarifa za siri na kiintelijensia zinazobainisha kwamba matokeo ya Mitihani ya kuhitimu Kidato cha Sita (ACSEE) yamepikwa kisiasa. Inadaiwa kwamba matokeo hayo yalichakachuliwa (standardized)...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Nimesoma HGK, nikapata (B A D), Nikasoma BAED- History geography- miez 4 ilopita nimeajiliwa kama mwalimu. LAKINI- O-level nilipata B hesabu na c jiograph: je naweza kuruhisiwa kufanya EGM bila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimetuma fomu ya mikopo bodi (heslb),na viambatanishi vyote, lakini nimekuja gundua kwamba nilisahau kukata pale sehemu isiyo husika ambayo pia ilitakiwa ikatwe na serikali ya kijiji ...na majina...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu wana jf,salaam! Ninaomba nijaribu kueleza kwa kina tatzo kubwa tulilo nalo kwa wanafunzi wetu haswa vyuo vikuu -wengi wao hawana uelewa wa mambo meng ktk taaluma zao, -asilimia kubwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari JamiiForums, Naomba mnijuze, kwa anayejua course ya Clearing and Freight Forwading ipo kwenye soko? Means ajira zake zikoje? Nawasilisha
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Back
Top Bottom