I completed my form six education in 2008 and decided to went Kenya searching for good life dwelling at kibira. Unfortunately I failed to fulfill my dream. Recently I came home Tanzania and make...
Habari za saa hizi ndugu zangu?samahanini naomba kuuliza kwa anayefahamu.
MIMI nimemaliza DIPLOMA ya ict katika chuo flani ivi cha serikali na kufaulu kwa G.P.A ya 4.0. wakati niko kidato cha...
Habari Zenu Wana Jf......
Ni Hivi Basi Zikiwa zimebaki Siku Mbili Kabla Ya deadline Ya Kutoma Maombi Tcu Nlkua Nahitaji Ushauri Wenu Sana,Hasa Waliopo Chuo Au Waliokwishaa Maliza Hii...
Nina rafiki yangu ana div 3.10 HGL (BBC), ameapply Law UDSM as first choice ambapo wana hata jina wa2 161 na mpaka sasa wameapply wa2 1495, na course ya pili ni Bcom marketing wanahtaji wa2 71 na...
Habari nilizozipata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika na kwenye majina yaliyobandikwa jana kwenye ubao wa matangazo (notice board) ya chuo inaonyesha kuwa wanafunzi wote wanaoenda field...
Jamani wakuu naombeni msaada. Nimehangaika sana na maisha, nimerudia mtihani mara tatu majibu yanakuja ovyo tu, naona sasa nikasomee hiyo sanaa naamini inaweza kunitoa katika maisha. Nisaidieni...
Niliapply Technician certificate in clinical medicine nishachaguliwa St.Aggrey college of health allied science Mbeya nashindwa kufanya transfer to Primary health care institute-Iringa because...
Miongoni mwa selection ambazo unaweza kufanya unapofanya application tcu ni hzi scholarship, sas kw yeyot mwenye kujua naomba anipe maelezo kuhusu scholarship hizi na pia nahtaji kujua ubora wa...
MAPENDEKEZO YA MABORESHO YA MICHEPUO NA TAHASUSI ZA KIDATO CHA KWANZA HADI KIDATO SITA
Elimu ya sekondari katika ngazi ya Kidato cha Kwanza hadi cha Nne imekuwa ikiongozwa na michepuo ya ama ya...
Si mara moja wala mara mbili nimepata kusikia ubishi ni chuo gani bora kati ya Mzumbe University na UDSM! Hii wala si aina ya mada ambazo navutiwa nazo lakini nimelazimika kujitumbukiza baada ya...
CHEVENING SCHOLARSHIPS TENABLE IN THE UNITED KINGDOM FOR THE YEAR 2015
The Ministry of Education and Vocational Training is inviting applications from qualified Tanzanians for a one- year Masters...
The Curtin Humanitarian Fund has been developed by Curtin University to support Curtin undergraduate students who have entered Australia under refugee-like conditions and are experiencing...
Wadau, naomba kujua kama mivumoni seminary sec school (iliyoungua moto) inapokea wanafunzi wa wasio waislamu. Inaonekana ni shule nzuri kwa infrustructure.
Mara baada ya kumaliza kidato cha sita mwaka huu 2014, nililazimika kuomba mkopo kwenye bodi ya mikopo ya elimu ya juu HESLB ili niweze kuendelea na masomo ya chuo kikuu.
Sikuamini kilichotokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.