Salamu ndugu
Wakuu namba msaada kupata joining instruction ya chuo taja, kuna bwana mdogo amechaguliwa kwenya hapo ila jamaa awajatuma join instruction mpaka sasa na chuo kimekaribia...
Habari wadau naomba msaada kwa yeyote mwenye kitabu/vitabu vya economics au syllabus ya economics v&vi anipm tafadhali ili anitumie natanguliza shukrani
Guyz nimemaliza form 6 dic yeah nilisoma CBG NA TOKEO LIKAJA HIVI......
Chemistry-C
Biology-C
Geography-B
Gs-C
Bam-C......
Mara baada ya TCU kutangaza tarehe ya application nilifanya application...
jaman nimeingia kwenye profile yangu, nimekuta nimechaguliwa lakin kuna mahali pameandikwa kwamba natakiwa kuconfirm alafu ikasema to confirm click the confirm button alafu hiyo button siioni...
Ndio wakuu naombeni msaada hapa heshima yenu kwanza nauliza tu nataka kuchukua medicine sasa ni lazima nichukue pcb au kuna alternative nyingine pia
by the way nataka kusomea uganda naombeni...
Habari zenu wana jamvi.
Mimi ni mwanafunzi nime maliza diploma mwaka huu 2014 name nina nia ya kuendelea na masomo yangu na matokeo ya chuo nilicho maliza yako NACTE tayari ila kila nikifatilia...
Habari zenu wapendwa...
Ni hivi kati ya land manangement na geomatics ipi ni kozi nzuri zaidi..zote zinatolewa ardhi zote miaka 4 zote ni priority katika mikopo...naomba kujuaa ipi ni nzuri...
Cosmas Mwaisobwa, HESLB Director of Information, Education and Communication
26th August 2014
Some foreign students masquerading to be Tanzanians are among the beneficiaries of loans issued by...
Nina jamaa yangu amesoma degree ya kwanza BSC with education, lakini sasa anataka kusoma tena ,sasa amepata postgraduate diploma ya project planning and management na Masters of arts in education...
Shule haina huduma yoyote ya kishule kuanzia bweni, watoto wanalala kwenye godown la kanisa, pia humo humo kunavyoo vichafu hatari, Hakuna walimu wa A level hata mmoja, na kuna combination kibao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.