Jamani mbona nilifanya second application lakini leo hiii nalogin na kukutana na habari ya kwambba nifanye tena application? Na zaidi vyuo vingine havipo? Nifanyeje?
Msaada
Jamani msaada tafadhali kwa anayeelewa, mdogo wangu jina lilirudi afanye application mara ya pili, amefanya hivyo kama siku tatu zimepita leo profile yake inaonyesha iko processed na wanamwambia...
Bilashaka mkovemawa pendwa wote humu ndani. Naomba kuwasilisha hoja...... Ukweli ni kwamba vijana wengi wenye ndoto za mafanikio hasa kwa wale walioko mashuleni ambao uwaza mafanikoa yao...
kwa taarifa zilizorasmi tcu watatoa majibu tarehe 22 sept, sasa na vyuo vingi eg.makumira wanaripoti tarehe 29 sept shida inakuja nikwenye kujiandaa naomba kuuliza ada za usajili kwa...
National Council for Technical Education (NACTE)
INTERIM REPORT ON FIRST BATCH SELECTION
13th September, 2014
The first selection of candidates into Bachelor Degree programs
has been conducted...
Wakuu wenye ufahamu na Hii Program, naombeni msaada wenu kuhusu hii program, TCU wamenipeleka kuisoma, na uchumi wetu hauko vizuri kiujumla, nifanye nini juu ya hii program coz ni Non Priority...
Jaman siwez kufungua accnt yangu kwahiyo hata sielew alafu wanavyo nambia matokeo ya nacte trh 22 nachanganyikiwa kabisa .. kwasababu chuo ninachotaman wanipeleke wanafungua trh 13 october kitu...
Wajumbe habarini za weekend, kwa yeyote mwenye fununu za wale tuliomba nafasi za kujiunga University kwa sifa ya Diploma kupitia NACTE.
Je ni lini wanatujibu coz wenzetu wa form six...
Wakuu, leo nimeingia kwenye profile yangu ya TCU nikakuta selection program eti haipo na nikienda kwenye view my selection status inadai eti sijafanya application na wameniletea link ya second...
Helooooow! Sijui nikiite kitabu ama nikiite kifaa? Lakini vile kilivyo tu ndipo hunihangaisha kichwa, kimejazwa makundi ya namba mbalimbali zinazotumika kwenye mahesabu shuleni, makundi hayo ni...
sisi wa second round mpaka lin jamani maana nikienda kwenye profile yangu nakuta bado you have successful selected lakini bado iko processed nisaidieni tatzo nini labda
Husika na kichwa cha habari hapo juu mimi ni kijana nimeapply tcu na mambo yanaelekea kuwa fresh ila kimjinimjini nimeotea mbishe ambayo inatarajia kuanza mwezi october ina mkataba wa mwaka mmoja...
Jeshi la kujenga taifa nchini (JKT) limetangaza majina ya waliohitimu mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti mwaka 2014 wanaotakiwa kujiunga na mafunzo ya jeshi hilo.
Kwa taarifa zaidi, pamoja na kuona...
Rehma na amani ziwe nanyi.
ndugu zangu naombeni dodoso kuhusiana na kozi ya geography and environmental studies. Unaweza kufanya kazi wapi. soko lake la ajira. uzuri wake na mapungufu yake...
Habari wakuu?!
Wakuu nahitaji kusoma kozi ya Administrative Law, chuo kilicho karibu yangu ni Open University tu;
-Je hiki chuo huwa kinatoa hizi kozi?!
-Na inasomwa kwa muda gani?!
-Ada yake...
Habari wana jamvi, kwa mawazo yangu ajira za ualimu baada ya miaka3 itakua shida kupatikana,
Nazungumza haya kwakua mpaka sasa vyuo vinavyotoa bachelor za education ni vingi xana ukiacha public...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.