Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

BONYEZA HAPA
0 Reactions
58 Replies
14K Views
Kulitokea malumbano humu jamvini kwetu kwa watu ambao hawakuchaguliwa mwanzo na waliochaguliwa huku wengi wao kudai kwamba serikali isitishe kuchukua waliopata division four, naona sasa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
mimi nipo jkt,ya tcu yakanikuta natakiwa kuomba chuo kwa mara nyingine bt huku 2metingwa na kaz nyng ikanibd m2 aniombee stefano moshi universty It lakn m ckupenDa kuxoma IT,Hvyo nimeomba kuhamia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ukiingia kwenye link ya tcu utakuta wamerahisha kwakuweka index no.mwaka jina lako lakwanza na lamwisho ukiona haumo tulia bado wanaendelea
0 Reactions
42 Replies
8K Views
Hivi ni kweli TCU First round application imetema wengi waliochagua kozi za sayansi,hebu kama una ufahamu kuhusu hili tiririka hapa.
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Kwa wale wanaojiandaa na wenyeji wa chuo hiki vipi changamoto zake hapo ili tujikoki vizuri
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habar zenu wanna jamvi. Naomben mnisaidie namba za cm za Hawa viongoz Wa TCU nipo mbali siwezi kufika ofsini kwao Nina shida kwel. Ni vizuri ukiniandikia na jina lake ili kupunguza usumbufu...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Jaman hivi anaesoma kozi hii, Anafanya kaz zipi? Na anajihusisha na nn hasa katika sector ya kilimo?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanajamvi kuna yeyote mwenye habari kuhusu hii foundation ya karimjee Jivanjee foundation inayotoa scholarships kwa undergraduate na post graduate students Naomba tu mwenye taarifa juu ya watu...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Jamani naomba kukifahamu chuo kikuu cha tumaini makumira kipo sehemu gani, vipi kuhusu ubora wa elimu inayotolewa hapo.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ndugu wanaJF, Natumaini title hiyo hapo juu sio ngeni kwa wanafunz wanaoendelea na masomo yao ya elimu juu but kama huna taarifa basi iko hivii... TCU wameamua kuanzisha Quality Assurance Fee...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali (IGP), Ernest Mangu Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali (IGP), Ernest Mangu, ameonya kuwa watu wote watakaobainika kughushi vyeti...
0 Reactions
0 Replies
843 Views
Daah, ndugu wanaJF hawa jamaa sasa wamekuwa kiini cha kuharibika kwa ndoto za wanafunz weng hasa hasa watoto wa mama n'tilie pamoja na Wakulima maana sasa watoto weng wamekuwa wakilazmika kujaza...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
baada ya matokeo kutoka kwa mafungu zaidi ya matatu kwa madaraja kadha wa kadha je hawa walio baki wapi hitima yao msaada
0 Reactions
0 Replies
976 Views
WanaJf, Nawasalimu. Naombeni mwenye softcopy ya ripoti ya pinda kuhusu kufeli kwa wanafunzi kidato cha nne. Nina shida nayo sana. Cheers Kikilo
0 Reactions
0 Replies
882 Views
Habaari zenu wana jf nilihitimu kidato cha nne 2012 na kupata daraja la nne ya pointi 27 ambapo mwaka 2013 nilituma maombi ya ualimu lakini sikuchaguliwa mwaka huu pia nilituma lakini mambo ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani wana jf naomba kuuliza,kuna diploma ya ualimu inatolewa pale TEKU mbeya ,yaani mtu ukiwa na certificate tu ya ualimu wa daraja la IIIA unapokelewa kuanza diploma bila hata kuwa na cheti cha...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani eehhh nimechaguliwa hiyo maneno wakuu sana jeeehh nina dili TZ? Msaada tafadhari......
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi, mimi nimehitimu BCom Education mwaka huu ila ndoto yangu ni kuja kupata CPA, advance nimesoma ECA. Je! naweza kuanza na stage ipi ?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom