Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari wanajf? Jana nimeshangazwa sana na viongozi waendeshaji wa semina ya mafunzo kazini ya masomo ya sayansi (biology,chemistry,physics na math) kwa walimu baada ya kutoa tamko kuwa semina ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
TCU wametoa taarifa mpya kuhusu wale ambao wamechaguliwa second round. Wamekiri ni kweli wengi waliokosa ni wale wa masomo ya PCB na CBG na wamewaambia nini cha kufanya sasa. Pia wana habari kwa...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Wadau anayefahamu ada ya kcmc kwasasa inakuwaje naomba anisaidie pamoja na maisha kwa ujumla(accommodation)msaada wakuu
1 Reactions
4 Replies
7K Views
Wakuu naomba mnitoe wasiwasi kuhusu hilotangazo la NACTE, nikweli ayo matokeo yatakayotoka yanahusu vyuo vyaualimu? au ni yavyuo vikuu tu? Asanteni.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani eti nikweli kwamba tcu wakisha toa majina ya walio chaguliwa kujiunga na vyuo hua wanatoa muda kwa wale wanaotaka huhama vyuo ili watume maombi ya kuhama vyuo walivyo chaguliwa kwenda vyuo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa yeyote mwenye uelewa na hili swala anisaidie, watu wanasema kwamba automobile eng ni part ya mechanical eng. sasa inakuaje automobile eng duration ikawa 4 yrs na mechanical ambayo ndiyo kubwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tume ya vyuo vikuu imesema kuwa kuanzia mwaka wa masomo mwaka 2014/2015 nakuendelea, wametoa ada elekezi kwa kila chuo ili kupunguza ulipaji wa ada kubwa kwa vyuo binafsi na serikali. ADA ELEKEZI...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana JF, Naomba kuuliza kama kunayeyote anataarifa kwenye CAS-Profile yake kuwa not eligible. maana kwenye tangazo lao linasema kuwa: 17043 applicants who have applied to Bachelor degree...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Mch. Christopher Mtikila alimshambulia Peter Serukamba eti ni Mtutsi. Akasupport hoja yake kwa kusema eti ni Serugamba. Kwa mawazo ya Mtikila jina Serugamba linamfanya kuwa Mtutsi. Tumsamehe bule...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
NDG MWAKILISHI WAAMBIE WALIMU WALIOPANDA MADARAJA SHULENI PAKO KESHO TAREHE 17.09.2014 WAENDE KUCHUKUA BARUA KWA AFISAUTUMISHI WA HALMASHAURI (MBEYA VIJIJINI) KATIBU CWT (W)MBEYA(V) hiyo msg...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Attention to all applicants of degree programmes for the academic year 2014-2015, Tcu- list first selection is out. Click to view the details ----------------------- Page 1-----------------------...
1 Reactions
33 Replies
15K Views
Nimekerwa sana na kitendo cha naibu mkuu wa chuo cha CBE, Bw Othman Hemed na timu take kukataza wanafunzi kuvaa mitindo mbalimbali ya nguo na kuamuru wavae mitindo anayopenda yeye kwa kisingizio...
0 Reactions
74 Replies
9K Views
Waheshimiwa nimchaguliwa hiyo kozi tajwa hapo, ninachotaka kujua ni je ukimaliza hiyo kozi unaweza kupata ujuzi pia wa kutengeneza/kuunda madawa??.. pia nimesikia ajira zake serikalin ni ngumu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau naomba mwenye uelewa juu ya kuomba uhamisho wa wanachuo wa nesin mwaka huu kutoka chuo A Kwenda Chuo B. Natanguliza shukran
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari zenu wana jf. . Msaada jamani mbna kwa wale tuliomba diplom udom kwenye profle zetu zimeandka chekng in progres afu ukingia kwenye orodha ya majina unakuta umechaguliwa wa then zinakuja...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu.. Nahitaji nmsaada kuhusu hili: Eti kwa mfano mtu first degree umesoma Bachelor of Science in Telecommunication Engineering je kuna uwezekano wa mtu huyu postgraduate kusoma...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwenye kuvijua vitabu vizuri kwa somo hlo naomba aniorozeshee hapa.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
- CALL FOR APPLICATIONS - The Center for Cultural Diplomacy Studies (CCDS) Center for Cultural Diplomacy Studies | Home The Center for Cultural Diplomacy Studies (of the Academy for Cultural...
0 Reactions
1 Replies
946 Views
kwa anaye fahamu:faculty ya BS IN PROPERTY AND FACILITIES MANAGEMENT; YA ARDHI ANIFAHAMISHE;inahusiana na kitu gani na soko lake likoje LA ajira..,msaada wadau.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hakikisha unalogin kwenye account mara kwa mara ili kuhakikisha kuwa jibu ulilolipata ni lile au limebadilika. Yawezekana ulichagua kozi ukaambiwa You have been selected lakini baada ya muda...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…