Wakuu nimekaa kwenye ajira ya ualimu miaka miwili sasa! nilienda chuo cha diploma nikiwa na principal mbili (E) na Subsidiary moja (S) maana nilikuwa PCB, Sasa chuo nilipata GPA ya 3.3, vp...
Kwa mujibu wa TCU guide book2014/15 inasema Principal pass ni A to C na D ni pass.
Pia imesema ili mwanafunzi ajiunge na chuo kikuu anatakiwa kuwa na angalau Pass (D) mbili.Na ukiangalia mfano...
Wakuu, Shalom.
Natafuta ushauri na maoni ya chuo kinachofaa kusoma by distance/online learning MBA au project management kinachotambuliwa na TCU. Nimekuwa najaribu kuangalia vyuo vya India but...
naomba kwa aliyewahi kusoma masters south Africa anijuze bajeti inakua around ngapi mwanzo hadi mwisho kwa kukadiria tu coz yoyote ile ili nijue ramani inaanzia wapi hata kwa kurange tu.
Naombeni msaada namna ya kuomba ufadhili kwa sisi wanafunzi tuliochaguliwa ktk vyuo vya afya mwaka huu, nimeona tangazo kuwa mchakato unaendelea lkn ku-apply for it nashindwa
Kwa anaye jua lolote kuhusu hii course aniambie jamani kama vile
1) soko la ajira lipoje
2) mtu anae anza kazi mshahara wake upoje
3) maeneo gani mtu alie soma hii course anaweza fanyia kazi
4)...
Wadau,ninatatizo la kuzungumza lugha ya kiingereza vizuri kwa ufasaha na uhakika,nataka kujisalimisha British Council kabla sijaumbuka...sasa kwa anayejua ada zao na lini wanaanzaga kozi zao...
Anaitwa mwanaisa. Ni binti mwenye umri wa miaka 21. Alikulia katika kijiji kimoja huko Moshi. Alisoma mpaka kidato cha tatu lakin kwa bahati mbaya wazazi wake walishindwa kulipa ada ya mtoto wao...
kwa wale wanaotaka kujiunga na masomo ya kidato cha kwanza mwaka 2015 jibu ni Oswe girls na Oswe boys zilizopo jijini mbeya maeneo ya wilaya ya mbozi. shule ni za bweni na mazingira safi ya...
Nataraji mwakani niaply MA kama naweza pata chuo,Udsm na Udom wanataka3.5.Masomo yangu ni History na Geog na nilisomea BAED MUCE,naomba ushauri mana nina wasi na hiyo GPA
Samahani sana wakuu,
Ninaomba kufahamishwa taratibu za kujiunga na jeshi la magereza au uhamiaji kwa walio hitimu kidato cha nne mwaka 2013
Je nafasi zao hutolewa lini?
Na mafunzo hayo hutolewa...
In a move to match the grading system in secondary education to that of higher learning institutions, the National Examinations Council of Tanzania (NECTA) has introduced the Grade Point Average...