Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wapo wengi wanatamani kuwa serikalini baada ya kupoteza nafasi hizo kwa dharau ya mishahara kuwa ni midogo. Ni dhahiri kuwa kuna tofauti ya mishahara kati ya serikalini na private.. Bt lengo langu...
3 Reactions
12 Replies
10K Views
Habari wakuu... Naomba kufahamu kuhusu hii course kama inalipa kwa hapa nchini. Kwa yeyote mwenye idea nayo.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Wale wenye principal pass moja na wakasoma certificate mwaka mmoja na wameomba kujiunga degree kupitia TCU. Je, vikwazo gani mmepata wakati mkiapply? Nataka nami nilipie but ningependa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
nina ndugu yangu anataka aje apo kusoma postgraduent ya education, naomba mniambie utaratibu ukoje ili nimsaidie yuko kijijini, shukurani kwenu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waungwana vip kuhusu selection za UDOM special program ya science education mbona kimya Nini kinaendelea tufahamishane.
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Mwanzoni niliapply afya kupitia Nacte nimechaguliwa chuo cha private ila nimeshindwa ada zao kubwa 2.4M nikaona bora niapply tena teaching kupitia Nacte nimeshindwa second step wanasema error your...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Serikali ya wanafunzi chuo kikuu Tumaini Makumira Arusha mbona kimya kimewazidi? Mtuweke wazi waja wenu kuhusu pesa za TP tujue zipo hazipo ili tuanze kazi Juma tatu!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Eti wakubwa nisaidieni IQ nini.?! Inapimwa vipi.?! eti mtu mwenye IQ kubwa kuliko anaitwa nani na anatoka nchi gani.?!?
0 Reactions
13 Replies
10K Views
habarin za jion,,! kama kuna yeyote aliyewah soma chuo hiki naomba afunguke kuhusu mazingira ya chuo yapoje, pia elimu inayotolewa pamoja na changamoto zilizopo hapo chuoni..nitashuru kwa msaada wako
1 Reactions
0 Replies
5K Views
UKWELI KUHUSU MAFUNZO YA JKT 2014. MUHIMU SANA. JESHI LA KUJENGA TAIFA LINAWATANGAZIA VIJANA WOTE WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA KUWA WANATAKIWA KURIPOTI KWENYE MAKAMBI...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kuna habari za kuaminika kutoka vyanzo vilivyo serikalini inayoelezea mabadiliko mazuri ambayo yako mbioni kufanyika mintarafu mizani na vipimo vya kupimia wanyama hapa nchini. Kufuatia mafanikio...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kwa yeyote aliyefanya registration TCU kupitia website yao ...! mbona hamna sehem ya account creation kun sehem ya log in tu! (how to create an account) hii wanayoita voucher number inapatikana...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ushauri kuhusu hiyo mambo hapo juu. Kuhusu upatikanaji wa ajira mtaani
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Je ni haki kwa chuo cha uhasibu arusha kukataa mtu aliyemaliza cheti IT kuhamia kozi ya diploma ACCOUNTS?JE HII NI HAKI
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Rais wa TAHLISO na rais wa DIT inasemekana wamekamatwa tangu jana na wapo kituo cha polisi cha Osterbay wakihojiwa kuhusu maandamano ya wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu yaliyopigwa marufuku na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana jf Kwa anayejua naomba anijuze bei ya hivi vifaa walivyotuagiza kwenda navyo chuoni 1:stethoscope 2:BP Mashine 3:Thermometer Naiwasilisha kwenu shukran
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Akiongea na EATV katibu wa heslb amesema wanafunzi 58307 wametuma maombi ya mikopo.Kasema bodi inauwezo wa kukopesha wanafunzi 30000 tu wa mwaka wa kwanza. WANAFUNZI 28,037 KUKOSA MIKOPO...
0 Reactions
27 Replies
8K Views
Ndugu, Kwa muda mrefu sana masomo kama muziki na sanaa kwa jumla yamepuuzwa sana katika mfumo wetu wa elimu. Wataalamu wa makuzi ya ubongo wanasema kwamba kujifunza kupiga vyombo vya muziki kuna...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
ipo Dar es salaam maeneo ya buguruni kama unaianza ilala hili jina huwa halinibariki kabisa sijui nyie wenzangu
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…