Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

May I want to Be a Doctor? Ngoja leo nifichue siri ... Elimu ya Tanzania haijafa, Imeuwawa. Najua siri iliyofanya mtoto wa mbwa awe kibaka, siri ambayo imekosa mtu jasiri wa kuiweka hadharani...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Msaada ndugu zangu. Ndugu yangu kapatwa na matatizo ya kikazi, wanataka kumfungia mshahara hivyo kaamua kuahirisha chuo ili atimize masharti ya ajira yake. Jamaa wamekomaa kwamba arudi kazini...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Wakuu nawasalimu sana, Please kwa anaejua hii kitu na namna ya kuifanya kwa STATA anisaidie. Msaada tutani. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau naombeni msaada nilifanya application ya vyuo kupitia tcu sasa mpk saa hv nikiingia kwenye profile yangu nakuta not yet processed kwenye zile coz nilizochagua..
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Nikiwa na diploma ya science education, naweza kusoma bachelor ya computer science
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba kuelezwa ubora wa chuo hiki,nataka nikasoma diploma ya medicine(diploma in clinical medicine).. nimejaribu kukitafuta kweny list ya vyuo vya NACTE sijakiona lakn kuna watu wamesoma na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari, Ukiwa umesomea Bcom pale UDSM unapata exemptions ngapi za mitihani ya ACCA? Na kama umesomea ADA pale IFM pia unapata exemptions ngapi za ACCA? Mnisaidie kwa hili wakuu. Muchas...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Wadau hivi walimu walioaplai mafunzo ya diploma ya Elimu ya msingi post zao zinatoka lini? Pia masomo wataanza lini naona wenye viti bado wako kimya kabisa naomba wenye news wawajuze
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habar za humu wakuu, mimi ni mwajiriwa mpya serikalini, na katika mipango yangu ya muda mrefu ni kusoma master pindi nitakapopata permanent employment. Kwa bahati mbaya nimepangiwa mkoa ambao una...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa yeyote mwenye kujua ada za chuo tajwa hapo ni shilingi ngapi? kwa mwanafunzi wa day na bording? shukran kwenu wadau!
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Wadau nataka nikasome bachelor ya pharmacy kampala internationa university(dar) vp ajira?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
habari ndugu zangu. Mimi ni mmoja kati ya waombaji walioitwa kwenye interview ya catholic scholarship programme of Tanzania(csp-tz), hivyo naomba ujuzi au muongozo wa maswali kwa waliopitia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jaman hiv kwa mtu aliechukua comb. ya EGM ni facult gani nzuri anaweza kuichagua ambayo ajira zake zinapatikana kwa urahisi?
1 Reactions
29 Replies
41K Views
Heshima yenu wana Jf Nlikua nahitaji msaada wa kujua haswa course ya health system management inahusu nini.? Soko na ushindani katka ajira.? Faida na hasara zake... Nimemaliza form six ndugu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu wa jukwaa hili. Ombi langu ni kwamba natafuta mtu ambae anaweza kunidhamin ili niweze kusoma postgraduate ya education kwan nimegraduate procurement ana supplies lkn...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wakubwa! Naomba kueleweshwa maana ya zile namba zinazowekwa kwenye fomu ya assesment mfano 01234 nasubr msaada wako plz!
0 Reactions
0 Replies
907 Views
Walimu wanalalamika kuwa formula mpya ya kukokotoa mafao ya wastaafu imewapunja. Mko sawa kabisa, very sad news! lakini kuna wenzenu walikuwa wanapata milioni 5, 1.4, 1.8 M Tsh baada ya kufanya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wana JF msaada wa ushauri kwa mtu aliyefanya mtihani mwaka 2012 na matokeo yake yakawa hivi geography D, History D, kiswahili E na GS kapata F anaweza chaguliwa kujiunga na Elimu ya chuo kikuu ?.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za mchana wakuu?natumaini wote ni wazima wa afya telee...wakuu nilikuwa naomba mnisaidie shule nzuri za private A-LEVEL kwa michepuo ya PCM NA PCB katika mikoa ya KILIMANJARO NA...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
hello great thinkers naomba kufahamishwa hii koz anaijuwa vizur anipe details zake na ubora na ubaya wake
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…