Kinachonitisha ni hizo sifa zao eti anatakiwa awe subsidiary mbili za masomo ya sayansi.
Hivi kwel nikisoma pale nitakua na soko kwenye ajira.
Naomben ushauri wenu.
NAatafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi aje Halmashauri ya MOROGORO (v) nami nipate kwenda katika wilaya ya KIBAHA, au wilaya yeyote ya DAR ES SALAAM. Kwa mawasiliano kwa mwenye...
Kwa walimu, nikipata ruhusa ya kwenda kusoma... iwe degree at diploma, ninapo ondoka kituoni naandika barua ya kuondoka? kama ndio nina attach na document gani?
Naomba kuuliza eti nikiwa na bachela of science with education
naweza kusoma cozi zingine kam computer science katka leval ya bachela.
Je kama na diploma ya scince wih education pia naruhusiwa...
Wanafunzi St.Joseph wagoma kuingia darasani
NA SHAABAN MDOE,ARUSHA
ZAIDI ya wanafunzi 350 wa Chuo Kikuu Cha Mtakatifu Joseph, tawi la Arusha, wamegoma kuingia madarasani kwa madai ya...
Naomba ushauri kuhusu vyuo vya afya, kilimo na mifugo ambavyo ni private na vyenye ada isiyozidi 1.5 Milion matokeo yangu ni division 4 point 26 2012 yenye C pass 2 ya biology and chemistry...
TAARIFA MUHIMU KWA VIJANA WALIOMALIZA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014
"Makamu mkuu wa jesh la kujenga taifa, anapenda kuwatangazia vijana wote waliomaliza kidato cha sita 2014 wale wote waliopangwa...
Hivi kuna uwezekano kama umemaliza PCM na kupata div 3 ukupata nafasi SUA kwa course za General agriculture au water resources and irrigation engineering ?
Nilichelewa kuomba chuo kwasababu yamatatizo. Anaeweza nisaidia nikapata chuo cha kilimo popote pale ila kiwe cha serikari kwa level ya diploma.
Anaeweza nisaidie ninaelimu ya kidato cha sita
Naomba ufafanuzi kwa wale ambao wamepata kuhama kwa kubadilisha vituo vya kazi kwa walim [KWANI KUHAMA HUWEZI KUANZA KUFANYA PROCESS ZA KUHAMA UKIWA HAUNA TSD NO,???] Kwa anayefaham anijuze kwa...
Baada ya MOE kukaa kimya muda mrefu na kufunga #website yao naomba msaada wako wa kunijulisha chuo chochote cha #private kinachotoa mafunzo kabilishi na ualimu wa kawaida yaani cheti daraja la...