Habari wanajamvi! Naomba msaada nipate kufahamu chuo cha tra wanatoa lini majina ya waliofanikiwa kupata nafasi ya kusoma Postgraduate na Masters. Coz website yao ni mbovu.
Juzi nimeshuhudia unyama ndani ya shule ya msingi MINAZI MIREFU-UKONGA mwanafunzi akiburuzwa na wanafunzi wenzake kwa kuvutwa na kupelekwa darasa la C ni darasa la watu wasio jiweza kabisa kiakiri...
Mimi ni Mwl wa grade A ,nahitaji kujiendeleza kielimu mwaka huu lakini sitaki kupitia kusoma a -level .Kaelimu kangu ni ka 4m 4.Nahitaji kusomea education Sio kwa kuenda kila siku manake bado...
Leo tarehe 13.8.2014 Chuo kikuu cha mtakatifu agustine main campus mwanza imetia fora baada ya kubandika matokeo ya semista ya pili ambayo idadi kubwa ya wanafunzi wamesap somo la basic English ya...
Habari wana forum?
Juzi nilikuwa nasafiri kutoka Dodoma kuelekea Singida wakati wa usiku. Nikiwa eneo la Sukamahela, kwa mbali upande wa kushoto nilikuwa naona mwanga mkubwa sana. Mwanzoni...
Habari wana jf,naitwa abel kikimba ni mkazi wa mafinga wilaya ya mufindi,kiukweli nimejitokeza tena humu kumtafuta mdhamini ambae yupo tayali kunisomesha kwa elimu ya chuo kwan nimehitimu elimu...
Habari wana jf,naitwa abel kikimba ni mkazi wa mafinga wilaya ya mufindi,kiukweli nimejitokeza tena humu kumtafuta mdhamini ambae yupo tayali kunisomesha kwa elimu ya chuo kwan nimehitimu elimu...
COLLEGE OF EDUCATION
School of Educational Studies
Postgraduate Diploma in Education
S/NO
Name
Sex
1
JAMES, Tumikia Kitalo
F
2
MGANI, Ado Romanus
M
3
EMANUEL, Zacharia
M...
Wadau wa elimu kupitia jf naomba kuuliza... Kwa mtu alie maliza shahada ya elimu history ikiwa ni somo la kufundishia anaweza kuchukua Masters ya History,Philosophy ama psychology?
ELIMU YA HISTORIA: Ni elimu muhimu sana kwetu Bindamu.
Hapa nina lengo moja tu, nalo ni elimu ya Historia na umuhimu wake kwa sisi binadamu. Hapa simaanishi kuwa kila mmoja asome somo la...
Nan ni mtetezi halis wa wanafunzi wa vyuo vikuu wanaodhurumiwa haki zao za msingi ni wiki ya nane wanafunz wapo field hawajapewa pesa zao za kujikimu Tanzania inatengeneza wanafunzi wa aina gan...
Uongozi wa chuo umepandisha ada ikiwa ni tofaut na mchanganuo uliopo kwenye fom yao ya kujiunga na chuo. Naomba kujua utaratbu wa kupanda kwa ada vyuo vikuu.