Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Nimemaliza kidato cha sita mwaka huu, nataka kuaply coz za geology ila sijajua ni ipi yenye ajira nzuri, alafu UDSM nimeona kuna B sc in geology na B sc with geology nashindwa kuzitofautish...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Mi nashangaa hawa jamaa walivyokaa kimya kuhusu nafasi za masomo vyuo vya ualimu, siku wakitoa nafasi hizo mara watu wakalipoti baada ya siku mbili. wengine waliokosa nafasi wanaanza kusota...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu waungwana,kuna ndugu yanGu amefanya mitihani ya cambride na kufanikiwa kufaulu kwa matokeo yafuatayo,phyiscs-C,chemistry-B na mathematics-A anataka kusoma chuo hapa hapa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Naomba mnielekeze chuo gani wanatoa kozi ya database administration, kozi fupi na ada zake.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za humu ndani Jamani naomba kufahamishwa kwa yeyote anayefahamu diploma huwa wanaanza na TGOS gani yani ile first appointment.
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Tahliso kufanya maandamano ya amani mpaka kwenye ofisi ya waziri mkuu keshokutwa kushinikiza serikali kuwalipa stahili zao wanafunzi wanaofanya fpt kwenye vyuo ambavyo bado havijapata pesa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau mwanye links yoyote itakayoniwezesha kupata na kudownload mitihani ya necta past papers anisaidie please ninashida nayo ahsante
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Mwanangu anasoma shule ya msingi AIRWING-BANANA-UK.Leo karudishwa nyumbani eti akafate pesa ya mtihani wa MOKO ambayo ni tshs 15,000. Ndugu zangu si serikali inasema elimu ya msingi ni kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za majukum wana Jf jaman naomba kujua hili MTU ASIE NA WAZAZI HUITWA YATIMA JE SWALI NIKWAMBA WAZAZI WALIOFIWA NA WATOTO WANAITWAJE KATIKA LUGHA YA KISWAHILI FASAHA naomba kujua hili jaman
3 Reactions
7 Replies
9K Views
kero ya kusubiria post za ualimu imeonekana kukatisha tamaa sana kwa applicants wengi ila sasa ndo wakati wenyewe, soma taarifa ya wizara kwenye gazeti la leo la mwananchi au tembelea tovuti ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau mwenye idea na industrial engineering..(i mean badae unakuja kuhisika na nini).. Ahsanten
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SERIKALI IACHE KUINGIZA SIASA KATIKA SUALA LA ELIMU. NAISHAURI WIZARA YA ELIMU KUONGEZA KIGEZO CHA UFAULU KWA ANAYETAKA KUSOMEA UALIMU. UALIMU SIO WITO TENA NI KAZI KAMA KAZI NYINGINE AMBAZO...
0 Reactions
0 Replies
944 Views
Naomben ushauri Nasoma bsc in education with chemistry iv naweza kusoma post graduate ya afya!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habariii wana jamiiiii Kama kichwa cha habar kilivo hapo juu, kwa anayefaham atufahamishe kama guide book ya2014/2015 imeshatoka tayari ,need for application into degree••&#8226...
0 Reactions
17 Replies
55K Views
Yeyote anayefahamu chuo cha mifugo cha private anifahamishe.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hiki chuo pass marks zake zipo juu sana kulinganisha na vyuo vya serikali maana kwenye soko la ajira wakati mwingine wanaangalia ufaulu mfano kwa saut mtu anaepata chini ya 49 huyo kafeli wakati...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Wadau habari zenu...?Naomba kama kuna yeyote anayefahamu mahali kilipo chuo cha Nursing school at KCMC certificate level anielekeze na kama anazo contact zao anisaidie pia maana kuna ndugu yangu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kero katika chuo kikuu cha tumaini kcmc TASWIRA Kilimanjaro christian medical college- ni chuo kikuu cha Tiba na huduma afya ya jamii,ikiwa ni moja ya vyuo vilivyopo chini ya vyuo vikuu vya...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
NJOO TABORA URAMBO,NIJE DODOMA,MOROGORO,IRINGA,MBEYA,NJOMBE,RUKWA,RUVUMA,PWANI. idara ya sec. 0686687221
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nikiangalia mataifa yote yaliyoendelea kama japan, china, uingereza, s.korea, taiwani, hispania na ufaransa wote hutumia lugha zao za asili kujifunzia. ukweli ni kuwa mtu akijifunzia lugha mama...
1 Reactions
72 Replies
7K Views
Back
Top Bottom