Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Niliomba TCU kama form six leaver, ila nilisha soma diploma ya uwalimu, je naweza omba tena ila kama diploma holder?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
​Kwa miaka ya hivi karibuni, fani ya ualimu Tanzania imekuwa ikionekana kama chaguo la wakosaji, yaani mtu anakuwa mwalimu baada ya kukosa kazi bora ya kufanya. Lakini kwa siku za nyuma...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Binadamu anapumua mara 23,000 kwa siku. Naombeni uthibitisho wake, ni kifaa gani kina-count huo upumuaji?
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Jamani ipoje hiyo kwenye soko la ajira na msuli wake upoj nimechaguliwa atc wamegoma kunbadlishia jaman nielkezen ukwel ulvo
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hili li ARIS la chuo kikuu Mzumbe linaboa sana. MaFR wametuma taarifa za kuwekwa kwa matokeo tangu wiki iliyopita lakin mpaka sasa hakuna chochote. Na taarifa ya kua matokeo sio mazuri hasa kwa...
1 Reactions
0 Replies
5K Views
Habari,Wakuu natafuta kampani ya discussion kwa wadau wanaotaka kufanya pepa za CPA kwa level ya Intermediate stage waliopo iringa mjini.Maana nimejitaidi kutafuta review class kwa eneo ili bila...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
School doesn't test your intelligence, it tests your memory.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za mida hii wanajamvi? Je kuna uwezekano wa kuajiriwa kokote kule either kwenye private sector au public sector ukiwa tu na matokeo ya miaka yako miwili uliosoma chuo. Yaani kuna mwenzetu...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
HABARI kama unae ndugu alie maliza form4 kuanzia 2009-2013 alie soma masomo ya sayansi (direct entery) ambae alipata Division 1,2 au 3 na angalau "C" moja kwenye masomo ya combination na "D"...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Dear Applicant, Ref: Call for Training Registration and Participation Confirmation Stage On behalf of our organization, I am obliged to inform you that after desk review of your cv and application...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba msahada kwa mwenye namba ya bwiru boys au nsumba
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mheshimiwa alitangaza shule mbili kwa ajili ya wanafunzi wa masomo ya sayansi na hisabati ili kuzalisha wanafunzi watakao jiunga na vyuo vikuu kusomea maswala ya gesi na mafuta, shule hizo ni zipi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau, mi ni mwalimu wa msingi wilaya ya kilwa, naomba anayeweza kunifanyia mpango nikahama kutoka huku na kuhamia shule yoyote dsm jijini dsm anijuze, kama waweza tubadilishane au nifanyie...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kuna tetec kuwa hela ya field kwa wanafunz wa saut-mwanza imetoka. je hz tetec zna ukwel wowote wanajamvi?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
BILA KUWA NA NDOTO ZILIZO HAI NI NGUMU KUFIKIA MALENGO YETU. Je, wewe una NDOTO gani?. NDOTO zako/yako ni hai?. Mwalimu Masanja ni kati ya walimu wanaopenda kufundisha kwa mifano na vitendo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana jf eti mat/chahita annual general meeting ni mbeya au mwanza?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu naomba kujua sheria za uwekezaji wa elimu kutoka nje inasemaje kuhusu wafanyakazi wa nje wanatakiwa kuwa wangapi Hapa nalenga mtu amekuja kutoka china kufungua chuo kikuu hapa nchini je...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kozi ya mafuta Na gesi INA solo kwa Tanzania naombeni Masada juu ya hili
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wakuu, Samahani sana nipo mbali na chuo nimechaguliwa kujiunga na chuo tajwa hapo juu mpaka sasa sijajua vitu gani vinahitajika chuoni kama vile ada na mahitaji mengine. Kwenye sanduku la posta...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Wapendwa wadau wa elimu na maendeleo, hamjambo? Ninatafuta vitabu au material yoyote ya combi ya HGL. Kwenye vitabu naomba kufahamishwa majina(titles) na kuhusu materials/previous acsee...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom