Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari za asubuhi wakuu. Naomb kuuliza hivi hawa NECTA na baraza la elimu kwanini huwa wanafanya hivyo? Yaani huwa kuna baadhi ya vitu havipo kwenye syllabus na vingine huwa wanavitoa lakini...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Eti wanadai wanarekebisha mishahara ya zamani ili kuweza kulipa mishahara mipya. Sawali ni je hawakujua siku zote kwamba wanalipa mishahara mipya? Kinachoonekana ni kwamba serikali haina pesa...
3 Reactions
48 Replies
5K Views
wajamvi poleni na majukumu ya hapa na pale. Naomba mwenye Details kuhusu mambo ya kujiandaa kwa wale wanaokwena jkt kwa mujibu wa sheria atudokeze hapa. Nawasilisha
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hivi chuo cha SAUT-MWANZA wameshapata hela ya field?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kashfa ya Uchakachuaji wa matokeo ya mitihani Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere-Chanzo ni Gazeti la Jamhuri la tarehe 31/12/2013. Kashfa hii imetokea kwa tawi la Chuo Zanzibar na Dar. Wito...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari zenu wadau?matumaini yangu muwazima na mnaendelea na majukumu yenu ya kila cku kadri ya kila mmoja alivyojaaliwa. Me ni ndugu yenu, Mtanzania mwenzenu nilimaliza kidato cha nne mwaka 2009...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
BACKGROUND OF TEATO Tanzania Education and Academic Transformation (TEATO) is a recently registered Non- Governmental Organization (NGO) under section 12 (2) of Act No. 24 of 2002 with...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nilikisikia hivi karibuni kinaitwa Chuo kikuu cha Bagamoyo, makao yake makuu yako Mikocheni (Dar es Salaam). Nataka kufika ofisini kwao, niko Mwenge maeneo ya ITV, nimewauliza madereva wa Pikipiki...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu, Naombeni mnisaidie kujua ni vyuo gani hapa nchini vinatoa Course ya Store Keeping na kwa level gani ya elimu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani mwenye uelewa na maswala ya sponsorship na scholarship..... nahitaji kujua hizo fomu huwa zinalipiwa au la!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kuna binti amemaliza form 4 kasoma arts hesabu ana C kiswahili C english D masomo manne yaliyobaki E Priority yake ni Ualimu, lakini chochote anaweza soma Ngazi ya cheti. CHUO GANI WATAMPOKEA?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu! Mwenye kujua taarifa ya lini post za ualimu,kilimo na mifugo zinatoka? Na mara nyingi ipi inatangulia kutoka na ipi hufuatia? Tetesi na mawazo yenu ni muhimu Ahsanteni.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Weka email uliyotomia wakati unajiregister na vyuo vya afya ngazi diploma na certificate upate kujua umepangwa wapi
1 Reactions
109 Replies
13K Views
Mimi ni mwalimu, nahitaji TSD number, nimeenda halmashauri ya wilaya yangu Mkalama kufuatilia lakini bahati mbaya hiyo huduma haipo. Nimemwuliza DEO lakini kaniambia hizo TSD number tutatafutiwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
habari wadau, Napenda kuuliza kuhusu nafasi za kusoma vyuo vya Ualimu grade A kwa waliomaliza form IV, naona kimya kingi je kuna mwenye taarifa atufahamishe wadau? Hizi nafasi kama sijakosea...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Tangu niingie chuo naona luna uhusiano mkubwa san kati ya hii bank na loan board. Hii ni wazi kwa sababu watu wa Crdb hutangulia kupata hela kuliko bank nyingine but inabore pale transactio...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu wana JF wanafunzi wa vyuo mbalimbali hususani vyuo vifuatavyo; UDSM mlimani (chuo cha taifa), MUCE , DUCE na UDOM pesa zao zitaanza kulipwa baada ya sikukuu ya EID EL FITR. Ni ukweli...
2 Reactions
65 Replies
9K Views
wale st.peter's seminary morogoro form 1990-1993 nafurahiu kuwakumbuka wenzangu tuliokuwepo wote enzi hizo wakati wa mr.bota,nyawale mr.mshiru,kinyau,mr.muhina,mr.mluge, sr.edith,sr.anna bila...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Nimeomba chuo kwa kupitia TCU ila toka nimeomba week ya pili hii nikitizama status naambiwa system check something like that, nimeomba education DUCE,UDOM na UD kwa nafasi zote na nina BBC
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom