Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

hii wana jf samahani naombeni mnisaidie kujua kama mtu mwenye diploma ya records mgt anaweza kuaply degree ya education
0 Reactions
1 Replies
870 Views
mimi n mwanafunz nmemaliza hapo mliman lakin kuna course moja ya research methodology inayosimamia na doctor wiliam,ile course ilitakiwa tukafanye reseach lakin kutokana na ufinyu wa budget...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Et! naweza kujua nimepangiwa chuo gan cha cha afya kwa sasa, maana naskia kunawatu washajua wapi wamepangwa?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kwa ambao mmeenda chuo na mnaotarajia kwenda chuo nje ya Tanzania naomba mkazane sana kwenye English ya kuongea na kuandika. nilishuhudia watu toka tanzania wakitia sana huruma kwenye...
4 Reactions
109 Replies
12K Views
hivi chuo cha National institute of tax NIT ina soko gan kwa ajira tanzania naomba mnisaidi maana kuna mdogo wangu anataka kwenda pale je anaweza kufanikiwa akimaliza elimu yake!
0 Reactions
4 Replies
4K Views
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Moving Tanzania masterclass. Kilimanjaro Film Institute (KFI) will conduct the Master class course intensive for three weeks, at its compound in Arusha from August 2014. This project base on...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Samahani,mimi ni mgeni hapa. Naombeni ushauri,kuna dogo langu linafanya mchakato wa application ya chuo anapenda sana akasome Bsc. mathematics . Basi naomba kujua hiyo Bsc.mathematics iko chuo gan...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
BCOM in management science (information system) je ni nzuri au mawenge
0 Reactions
0 Replies
38K Views
kwa watakao chaguliwa na waliochaguliwa kcmc uliza chochote hapa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi Members, I'm in Tanzania and want to do professional exams for actuaries. what are the requirements for a person who has not done actuarial science in college.
0 Reactions
0 Replies
803 Views
jaman naomben ushaur nina (iii ) ya 30 nikimaanisha ya 24 kwa mwaka 2012 nimebalnce comb PCB na xijapata shule nifanyaje?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna mdogo wangu baada ya kukakilisha zoezi la kuomba mkopo na kutuma akagundua kua fomu yake ni yanafunzi wa nnje na yeye ni mwanafunzi wa ndani na bodi wakamwambia muda wa kulekebisha umeisha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nawasalimia katika jina la JF ; Napenda kuwashrikisha katika sherehe yangu ya Miaka 25 ya kujua kusoma. Leo nimetimiza miaka 25 tokea nilipojifunza kusoma. Katika kipindi hiki nimenufaika...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
matokeo ya shule kidato tano kwa awamu ya pili hatimaye yametoka katika website ya waziri mkuu wengi waliotarajia wamekuta tofauti wanafunzi wachache ndo waliochaguliwa poleni kwwa mlioachwa na...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
waungwana hv ni lini matokeo ya selection za vyuo ni lini yanatoka waungwana
0 Reactions
3 Replies
3K Views
wakuu mie ni mwanachuo cuhas bugando! kulingana na hali nayoiiona kukosa assignment kadhaa, nina uhakika nmedisco na hivyo ndoto yangu ya kuwa doctor ndo imeiishia hapa! ni shughuli ipi naweza...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Ndungu Wanajamvi,BRN Inatesa Sana Walimu Tarajaliwa wa Diploma Kwa Sasa, Diploma Imekua Kama Form Six! Kama Uongo Njoo Ujariau Kuonja Uone Ulimi Utakavyokatika, Matogoro STC, PG.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Msaada:Naomba kufahamishwa kuhusu (Orodha ya wilaya zenye nafasi za ajira)ili nijaze fomu kama maelezo ya kuomba nafasi za masomo wizara ya afya yanavyo elekeza kuhusu udhamini.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Maisha kwa kweli yanahitaji ujasiri sana, nakumbuka nilikotoka, jinsi nilivyosurubika nikiwa sekondari hadi namaliza kidato cha 6 nilikuwa nimechoka sana, mwaka 2011 ndo nilipohitimu kidato cha 6...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom