naombeni kujua hili swala silielewi...je Kwa QT 1 huwa wanafanya mtihani wenye masomo gani?na hufaulu kwa wastani gan??na vp kuhusu QT 2 nao hufanya mtihani wa masomo mangapi?na ufaulu wao...
Jana nilipita mtaa flani hapa dar nikakuta makahaba wakijiuza nikashindwa kuwatofautisha na wadada zangu vyuoni jinsi walivyovaa. sasa bodi imegoma mpaka Leo msomi mdada kutumika na bodaboda kwa...
great thinkers,naomba msaada wa syllubus ya additional mathematics,au link itakayonisaidia kuipata,hata kama una sample ya papers nitashukuru kama utanisaidia ndugu,natanguliza shukrani
MSAADA wana Jamii forum..
habari zenu ,,ningependa kujua muda wa mafunzo haya kwani nimelipitia tangazo lao mara saba lakini sijaona muda yaani duration of the course kwa anaye jua anisaidie,,,,
Quality Control In Secondary Education In Tanzania By Decentralization Of Inspectorate Department.Its My Intend Research Title For MAsters Of Educatinal Planing And Adminitration,please Give Your...
Chuo kuzuia matokeo ya mwanafunzi anaedaiwa ni upungufu wa fikra kwa wasomi wetu wanaofanya kazi kwa mazoea tuu, mwanafunzi yupo mwaka wa 1au 2 unamzuilia matokeo ili iweje wakati bado yupo chuoni...
Kama kawaida ya serikali hii sikivu, baada ya kuchakachua matokeo ya kidato cha nne 2012 , sasa wamehamia kidato cha pili ...wameshusha alama hadi wastan wa alama 20, kama haitoshi wakasema basi...
Habarini wana-Udsm.
Natumaini wengi wetu tayari tumekwisha ona tulichovuna pale Aris, kwa mliopiga vizuri hongereni na kwa wenye sap poleni bt msife moyo kwani hii inatokea kwa mtu yeyote, muhimu...
Mkumbuke kuwa BRN imekuja BAADA ya wanafunzi wa kidato cha6 2014 kupapatua katika masomo yao ili angalau wapate E2 tu wajiunge na vyuo, na hawakujua kua hii system itatumika, therefore wote...
Najua wengi wenu mmetupia macho kwenye Cut off Point. Wengine Kwenye Loan Priority. Wapo pia waliotupia macho kwenye Exposure ya chuo, market ya kozi anayotaka kwenda kusoma. Pia wapo waliangalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.