Habari zenu wanajamvi,natumai sherehe ya iddi pili imeenda vizuri.Nakuja kwenu leo nikitaka ushauri kama kichwa cha habari kinavyosomeka , nilisoma ECA na kwa sasa nipo katika zoezi la kuchagua...
ni kama nusu saa sasa naahangaika kuifungua hii website na haifunguki.
shida yangu ni kuwa nahitaji kupata ufafanuzi wa "cut off points form V selection 2014"
mfano HGL 13:31:3:6 hii ni kwa...
samahani wakuu nimeona ni vema kushare na nyie ili muweze kunisaidia kwa hili naomba kwa mwenye kujua shule 5 zenye ufaulu mzuri kwa hapa tanzania ukiachilia mbali shule kama feza boys ,marian...
serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania imepunguza ada ya vyuo vikuu vyote vya serikali na private kwa asilimia 40 kwa faculty zote.
Taarifa hii limetolewa rasmi na tume ya vyuo vikuu vya...
Haki ni lazima mtu apewe wala siyo ombi.
Wanachuo UDSM,TEKU,UDOM tupo field mwezi umekwisha bila hata malipo.
Serikali kuweni na huruma acheni roho za mabavu,shida ni nn?
Tanzania kila jambo...
Mbona vyuo vikuu tumesahaulika hivyo ? Kuna thamani gani ya elimu ya chuo kikuu hapa Tanzania kama tunakuwa watu wa kukopa kopa, namaanisha ni mwezi mmoja sasa umekatika hatujapewa pesa ya field...
Jamani wadau na wanajamvi wote naomba tuwekane sawa humu.
Hali ni mbaya sana kwa vijana wa vyuo vikuu walio field na wiki ya tatu imeisha jana bila dalili zozote za kupata hela. CCM na serikali...
Wanafunzi wenzangu tulio field wiki ya tatu imeisha bila hata dalili za kupewa hela. Tumedhalilika vya kutosha sasa huku viongozi tuliowapa dhamana wakiwa mabubu na kuzimwa na wenyenchi. Chaajabu...
Toka nimefanya aplication mwezi wa tano hadi sasa bado tu wameniandikia CHECK IN PROGRESS sasa sijui inachuwa muda gan kuandikiwa YES or NO kwenye program nilizochagua kama wafanyavyo kule...
Habari za humu wana JF...
Naomba kujuzwa kwa yeyote anayekijua chuo hiki cha dit vzur haswa hii kozi ya civil kwa ngazi y a degree kuanzia ufundishwaji.hostel kwa wanafunzi...
Je eti ni bora...
Jana yalikuwa ya fanyike maandamano makubwa mkoa wa mwanza kushinikiza serkali iwalipe wanafunzi madai yao au kuharakisha asessment ili wanafunzi warudi makwao , lakini jambo lakushangaza umekuwa...
Salaam wadau,
Kuna mdogo wangu kamaliza form six mwaka huu ananiuliza kila siku kuwa kuna uwezekano wizara ya elimu ikafungua upya maombi ya kujiunga na mafunzo ya ualimu ngazi ya diploma kwa...
Ndugu zangu wanazuoni kutokana na hali tete ya kupata pesa za field na kwa ukimya wa marais wa vyuo vikuu pamoja na TAHLISO napenda kutoa wazo ya kuwa mwezi wa kumi tukifungua vyuo vyote Tanzania...
wazee wa Nyakato mpo? unakumbuka nini hasa katika shule hii? mi nilifika pale mwaka 1996, Du! nilishangaa kuona viranja wakichapa wanafunzi wenzao, kiukweli form one hakua na thamani pale{kijana}...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.