Mwalimu Agapitho J. Anney anamtafuta mwalimu wa shule msingi kutoka Manyara ambaye angependa kuhamia Simiyu ili waweze kubadilishana. Kwa mawasiliano namba yake hii hapa. 0763264240
Hadi leo leaving certificates za kidato cha nne mwaka jana hazijatoka. Hivi kunani?
Ukienda Mzumbe zinakochapishwa wanasema hawajapewa tender.
Nini hatima ya Form IV leavers 2013?
Baada ya kupandishwa kwa mshahara kiduchu kwa waalimu na wafanyakazi kwa jumla, kunataarifa za siri zimevuja kuwa waalimu wanaofundisha maeneo yanayoongozwa na upinzani(Chadema) na hasa yale...
jamani! kwa nn kikwete hawezi ata kuwa na huruma kwa watz japo kidogo? yaan matatizo ya kifedha yanalikabili taifa mpaka waziri wa fedha kashakiri, fedha ya PT kwa wafunzi wa vyuo haijapatikana...
Ndugu naomba kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu selection za vyuo vya kilimo ngazi ya certificate and diploma kwa mwaka huu (2014) atujuze; ni lini majina yatatoka or any useful information; Nina...
mniangalizie jna langu ktk wa2 walioomb kujiunga na mafunz y ualimu ngaz ya chet jina n KUPELA S KUPELA
then npe rpt 0656287488 au kmmolole553@gmail.com niangalizien jaman
ikiwa mchakato unaendelea tcu na heslb siku matokeo yakitoka kuna watu watakuwa na furaha kwa kupata chuo na mkopo na huzuni kwa waliokosa mkopo.
mimi napenda kuwashauri kwa wote mtakao kosa...
Ndugu wanajamvi,
Mwalimu Spicta Nurdin anayefundisha shule ya sekondari katika manispaa ya Musoma. Anaomba mtu yoyote wa kubadilishana
naye anayefundisha mkoa wa mbeya au iringa.
Natanguliza...
Ndugu wanajamvi,
Mwalimu spicta nurdin anayefundisha sekondari katika manispaa ya musoma anaomba mtu yoyote wa kubadilishana naye anayefundisha mkoa wa mbeya au iringa.
Natanguliza shukrani...
ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO MAALUMU REKEBISHI
(BRIDGING COURSE) YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA MASOMO YA SAYANSI NA HISABATI KATIKA CHUO CHA UALIMU MONDULI
MWAKA WA...
mie nilisoma cbn nikapata three ya 12 , chem d , bios c , na nutrition b , nataka kuenda kusoma food science and techno , naomba ushauri kama course hii ni nzuri au kama kuna course nyingine bora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.