Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari wana JF, Naomba kuuliza je kuna kozi ya diploma ya computer engineering and it technologies?? Kama ndio naomba msaada ni chuo kipi hapa tz wanatoa kozi hii
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Weprovide a free of charge support in application and admission to Undergraduate,Masters, Ph.D and other professional programs with a wide range of academicdisciplines. Wehave close ties with the...
0 Reactions
1 Replies
727 Views
Hiv kwa hizi alama mpya mtu akipata division 3 ya pount 30 kafaulu or kafel
0 Reactions
1 Replies
735 Views
S0629/0548 f 10 iii g/studies - 'd' history - 'b' kiswahili - 'b' english - 'c'
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani mwenzenu napenda sana kusoma hiyo fani ngazi ya diploma nimechaguliwa ATC lakini watu wananambia nIbadilishe sababu ni ngumu watu wanafeli sana wanasema nisome telecom. Naombeni ushauri...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari ya leo wana Jf. Naomba msaada kwa yeyote anaesoma/ anaemfahamu mtanzania anaesoma katika mji wa SUZHOU,Uliopo jimbo la Jiangsu, china anisaidie kuniunganisha nae kwa kuni-pm au kunitumia...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
wasomi wenzangu karibuni mnijuze, hivi serikali inawaajiri moja kwa moja watu wenye postgraduate diploma ya education? Ni hayo tu. Asanteni.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Business management books by dr.lucas webiro wasomi naomba kwenu fursa mpya kusoma machapisho haya taratibu za utawala uliosifika kwa mahali pa kazi.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
msaada wanajf kutoka DIT ivi direct entry selection second batch znatoka lini?.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau wa JF katika harakati za kujikomboa kimaisha nimeona nianzishe darasa la computer. Ambalo huko mbeleni natarajia ije iwe college ya mambo ya IT. Nimeanza na desktop 6 na lap top 3. Then huko...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Baada ya kutelekezwa kwa takribani mwezi mzima, leo kilio chetu kimesikika. Hii ni kwa UDSM. Hili liwe fundisho kwetu next time tusiwe wajinga kiasi hiki.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Bod ya mikopo baada ya kuchelewesha fedha za field kwa wanafunz wa elimu ya juu hatimaye jana wamewekewa hao wanafunzi hii n baada ya timbwili la wanafunz wa udsm pale nkurumal hall sk ya jpil...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Jaman nimeona mfumo umeruhusu tena mchakato wa udahili na wamesema ili kutoa nafas kwa wahitimu wa form six na watu liochelewa pia kuwapa nafasi wale walio omba nakukubaliwa na wameonesha nia ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani Lipeni Nauli Zetu, Wilaya Yenyewe Iko Mbaliii Halafu Bado Mpo Kimya.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Samahani wandugu hvi kuna yyote mwenye update juu ya hzi pesa za pt a.k.a practcal trainings coz cielew hii serikali inampngo gani mwezi sasa wapita twaganga njaa tu maofcn mwa watu..hvi kweli...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Ningependa kuwapa tahadhari walimu watarajiwa kuna watu wanajifanya wanafanya kazi wizara ya elimu na wengine tamisemi hao watu wanajifanya wanaweza kuwasaidia watu kuwapangia vituo vya kazi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za muda huu ndugu zangu. Mimi nilimjazia mdogo wangu vyuo kupitia CAS TCU tangu tarehe 27/7/2014 nilimjazia course nne nikaacha moja ili nikipata chuo kingine nije nijaze tena lakini...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamaa yangu anafanya research ya e-commerce Tanzania, ili kukamilisha research anaomba msaada wetu wadau. E-commerce ni teknolojia muhimu sana na inatumika sana huku nje. Kwa maelezo zaidi fungua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna mwl yupo GEITA wilaya ya BUKOMBE anatafuta wa kubadilishana nae kutoka PWANI wilaya yoyote ile idara ya msingi,mawasiliano pm 0758065195
0 Reactions
0 Replies
929 Views
Naamini kila mtu humu ndani anaupeo mkubwa wakushauri jambo hasa kuhusu elimu na coz zake! Hivi wanajamvi kunautofauti gan (kwa wale wanaojua) kati ya coz ya BACHELOR OF ACCOUNTING AND FINANCE...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom