Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

MIMI NI MUHITIMU WA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA MAGOGONI KOZI YA SECRETARIAL IMENICHUKUA ZAIDI YA MWEZI KUPATA MATOKEO KILA UNAPOENDA MAJIBU UNAYOPEWA NI YA LUGHA CHAFU MPAKA UNAJIULIZA HAWA KWELI...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wanajamvi, habarini popote mlipo. Naomba kufahamu ilipo shule ya msingi MONTFORT / montfort primary school ktk wilaya ya temeke. Natanguliza heshima kwenu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomben msaada wa kupata namba za mwalimu mkuu wa Bwiru boys tafadhari
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kuna tatizo gani endapo mtu akiaply kupitia matokeo ya kidato cha sita na wakat huo huo akaaply kupitia matokeo ya diploma?,mliozoea kutukana na kudis watu naomba mnivumilie na mnijibu kistaarabu
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naomba nipewe taarifa kama kuna mtu anajua zinatoka lini?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu salam Ni mda sasa serikali yetu ama kwa kushirikiana na nchi marafiki imekuwa ikipeleka watanzania inje ya nchi kwa lengo la kuwasomesha hatimaye kupata wataalaam wa sekta mbalimbali zisizo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jinsi ya kuhama chuo kupitia noas katka kpnd hk kabla ya trh 20 agust nisaidien katka hl
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ni mwez mmoja sasa tangu serikal ilpoamua kupandsha ada vyuo vya ulimu, huku ikiwapa mtihan wa mchujo ikimaansha kwa atakayeshndwa kufksha alama 41 kila somo atarudia mwaka, lkn hadi mda huu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
n kwel vyuo ambavyo havijapata hela ya field kwamba hela haijafka vyuon?kwann wengne wapate na wengne wasipate?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
nafasi DIT kwa form IV upande wa direct entry scheme zipo?na mwisho wa kutuma maombi ni lini?,msaada jamani!
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Serikali ya CCM haiwezi kuacha Utapeli kwa WALIMU wa Tanzania, kama huwezi kuamini kauli hii tazama mshahara waliokuongezea kupitia NMB mobile usiku huu. Wanachoweza kumuongeza Mwl wa Tanzania sio...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
wakuu habari zenu najua mpo vizuri naombeni kujuzwa elimu ya uganda ikoje kiundani zaidi ubora wake upo wapi na matatizo yake yako wapi
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani mwenye majina ya chuo cha mubondo kasulu cha kilimo naoba anipostie hapa hata kama ni file zima halafu nauliza hivi hvi majibu ya ualimu tayari yameshatoka kama tayari pia naomba uniwekee...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Nasikia tayari post za kilimo zimetoka! wadau naomba msaada wenu kwa wanaokijua vizuri chuo hiki au wanasoma hapo contact zangu ni 0765005062/0765570301
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Naomben msahada kwa mweny kuweza kunipatia namb za mku wa shule ya nyegezi seminary
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanajamvi naamini hapa kuna wataalamu wa kutosha ni website gani katika nchi yetu hii inatembelewa na watu wengi zaidi mwenye uelewa naomba anijulishe. Ahsante.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hongeleni sana,kwa wale hambao mambo hayakwenda saWa pia mshukruni mungu bado nafasi ipo,yamebandikwa jioni ya leo.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
mwenye taarifa kamili kuhusu taarifa za JKT wa kujitolea 2014
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mpaka sasa vijana walio kwenye mafunzo kwa vitendo toka Chuo cha saut main campus na matawi yake hawajapata hela yao toka HESLB, je chuo hiki kimewakosea nini mpaka muwatese hivyo.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
nauliza nafasi ya kusoma mbeya institute of technology kwa form IV zipo?pia mwisho wa kutuma maombi ni lini?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom