Mi dogo kamaliza EGM,E-B,G-C,M-E (ni three ya 13) na nyumbani mambo sio mazuri na yeye anataka masomo ya accounts na kote naona ni non priority,msaada wenu wakubwa achague faculty gani ili aweze...
Nimezipata hizi taarifa kwa watu wawili kuwa Serikali imetoa waraka kuzuia Watumishi kupanda madaraja mwaka huu eti hela hakuna, mwenye taarifa za uhakika nisaidie kama ni kweli au ikoje?
Hv ukichaguliwa na tcu kusoma kozi flan ktka chuo flan den ukafika ktka hcho chuo na kubadili kozi bila tcu kujua ukija kumaliza unapewa chet chako kama kawaida???
nimeomba mkopo .sasa niki log in ili ni view details zangu naambiwa you should fill other forms na nikiangalia walipoandika status application naambiwa application incomplite.msaada jaman hizo...
Nilimaliza form4 2oo3.,nilisoma shle ya binafsi.
Kombi haikbalance, kwaio sikchagliwa f5.
NingeendeLEA f5 shle binafsi, lakini mfadhili aliishia hapo...baada
ya
hapo
maisha
yaliendelea ndipo...
Nina mdogo wangu ambaye amemaliza kidato cha sita na kwa sasa anafanya application kwa ajili ya masomo ya chuo kikuu. sasa kuna hizi course mbili zinazotolewa na chuo cha Mzumbe ambazo ni BAF in...
wanachuo wawili wa chuo cha STEMMUCO kilichopo Mtwara wanisurika kuuwawa baada ya kihofiwa kuwa ni wauwaji kutokana na ugeni ambao wanakijiji walishindwa kuwajua vijana hao walioko Field katika...
kwa kweli bodi ya mikopo ifike hatua muwe na aibu hivi hela zetu bado munafanyia biashara tu?
Nani asiyejua udhalimu uliopo ndani ya bodi ya mikopo mtu akiajiliwa leo baada ya miezi yaa mitatu...
jana mda 10:00 am niliwasiliana na wizara kuhusu kuchelewa kwa pesa ya field kwa baadhi ya vyuo!majibu ni kama ifuatavyo(1) kwa kweli hili ni tatizo kubwa linalosugua vichwa vyetu kama watendaji...
Wandugu naombeni ushauri wenu.
Me nmeokota TCU vocher juzi kati hapo, afu kuna mdau ye bado hajanunu vocher so antaka aitumie hii vocher.
Jaman kunatatzo nikimpa aitumie hii vocher?
Habar wana jf,kuna utapeli mpya umezuka wa genge la watu watatu(3),wawili kati yao wanajifanya ni WALIMU ambao wamefanikishiwa kuhama na mmoja wao ambaye yeye hujifanya ni kigogo pale TAMISEMI na...
Wana jf naomba kuuliza kwa mwenye kujua, ivi majina ya watakao soma kozi za diploma udom zitatoka lini. Nimesubiri nimeshindwa hata kuomba sehemu nyingine .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.