Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Hii itatolewa kwa yule atakayeweza kufanikisha zoezi la mimi kuhama kituo nilichopo na kuhamia mbeya jiji. N.B-PESA HII SI RUSHWA bali ni aksante,maji,usafiri n.k. natanguliza shukrani zangu kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
WAALIMU, icho walichoweka kwenye mshaara ndo INCREMENT au NEW SALARY? uko wapi umuhimu wa CWT? mbona tunanyanyasika hivi jamani?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
heshima kwenu wana jf ni wazi kuwa kila mmoja anajua kuwa ni wiki ya tatu tangu tuanze mafunzo kwa vitendo FPT lakini mpaka Leo hakuna dalili yeyote ya kupata pesa yetu huu siyo ungwana hata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana Jf,mm ni muhitimu wa kidato cha sita PCM,hivi ni kozi ipi nikisomea natakwepa adha ya kutafuta ajira kwa muda mrefu baada ya kumaliza chuo?
0 Reactions
11 Replies
1K Views
wakuu naomba msaada wenu mtu anae chukua cbg anaweza kuwa pharmacist? au hata doctor?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naitwa abely kikimba, nilihitimu masomo yangu ya kidato cha sita mwaka 2013, na kufahuru vizuri kwa division two, na kwa bahati mbaya sikuweza kuendelea na elimu ya juu kwa kukosa mkopo na pesa za...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za majukumu ndugu zangu,EID MUBARAKA Iwapo una mwanao au ndugu yako amehitimu kidato cha nne au cha sita kwa ufaulu wowote ule na ungependa ajiunge na kozi mbalimbali za ngazi ya cheti au...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Majina haya hapa DIT-SAS:: List of Selected Direct Entry Applicants for Academic Year2014/2015
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakuu tangu mwaka jana nimekuwa msomaji mzuri wa TCU guide book lakin kwakweli ukiangalia ni vituko vitupu. Almostly kila kozi yenye utija utaona wanataka sijui principal in Adv mathematics hata...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika sehemu ya met min requirement wameandika check in progress nimepaclick pale then nkasubiri after 6 hrs still pako vilevile. je inatumia mda gani kuonyesha YES or NO
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hivi kwa walomaliza form six mwaka huu washaruhusiwa kuomba vyuo kupitia TCU ?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna taarifa zimezagaa mjini kuwa wahitimu wote watajiunga na mafunzo ya JKT ili waweze kujengewa uzalendo na inasemekana ndo itakuwa sifa ya lazima ya mtu kuajiriwa serikalini. Hii itahusisha...
0 Reactions
43 Replies
8K Views
Habarini wana jamvi. Mimi mwaka jana nilifanya mtihani wa form six matokeo yangu yakawa hivi GS=S HIST=F GEO=F LANG= E. Lakini mwaka huu niliporudia history na geography matokeo yangu yalikuwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana JF Form IV nilifeli nilipata division IV,nikarisit nikapata credit ya kuniwezesha kufanya mtihani wa kidato cha sita pia nilifeli, nilipata division III somo nililofaulu ilikuwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa jinsi ya kulipia hizo vocha za kuombea vyuo, maana kwenye guidebook naona kua natakiwa kununua nbc lakini bank nimeenda wanasema ninunue kwa mpesa, kea anayejua naomba kuelekezwa...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
nmesikia kua kuhusu mkopo vyuon mwaka huu..., nimetoka internet coz nyng hazna mkopo zaid ya EDUCATION NA WANASAYANS 2... hawa ndio wanaopewa mkopo,,, eti n kwel wana JF???????
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wana jamvi kwanza nawapongeza kwa kumaliza vizuri mwezi wa ramadhani.Lakini kwa baadhi yatu sisi Walimu sikukuu hii imekuwa si ya furaha kwani mpaka sasa hivi hatujapata mishahara yetu, wakati...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Rejea kichwa cha habari viongozi....hivi kwa mtu aliesoma hge na ana pass za (physics na chemistry) o- level anaweza somea architecture...kama hapana course gani zina uwezekano kwake?
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Kwa nini orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ualimu rekebishi kwa mwaka wa masomo 2014/2015 itoke monduli tc tu, na kuacha vijana wetu wakipigwa vumbi kitaa "huu ni umwinyi...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Back
Top Bottom