ndugu zangu wanazuoni kutokana na hali tete ya
kupata pesa za field na kwa ukimya wa marais
wa vyuo vikuu pamoja na TAHLISO napenda
kutoa wazo ya kuwa mwezi wa kumi tukifungua
vyuo vyote...
wana jf kiomboi habar zenu.
Kwa wale wanaohitaji kurudia mitihani kwa O-level na wale school candidates waliopo kiomboi tafadhal tuwasiliane 0682919945.
wanajamii naomba maelekezo jinsi ya kuomba HESLB kwa sifa ya form four 2013 diploma in education science (half comb) kama una uelewa maana nimejaribu imegoma kabisa. napewa sms hii
''The Index...
Shule nyingi za private kama sio zote zinachangisha michango ya majengo na madawati je hili ni sahihi? Maana ile ni shule ya mtu ambaye siku yoyote anaweza kubadilisha matumizi toka shule kuwa...
Wana jf, embu tusaidiane japo kwa ushauri juu ya hili, tangu mwaka jana JUST wamekuwa wakucharge hela ya ziada(faini) wanafunzi ati kwa kosa la kuchelewa kulipa ada, na mbaya zaidi wamekuwa...
Kuna midaharo mbali mbali inayoendelea, mojawapo ni hili la WAHITIMU wengi wa vyuo VIKUU kuwa hawaajiriki kutokana na elimu mbovu wanayoipata vyuoni, kwa hiyo inakuwa ni vigumu kupata ajira...
Habari za jioni wana jamii forum, ... Nilisoma bicom-hrm, nafikiria kusoma masters or any short course itakayonisaidia kujiajiri, sio kwa ajili ya kumiliki tu masters certificate..Any advice kwa...
Habari za jioni wana jamii forum, ... Nilisoma bicom-hrm, nafikiria kusoma masters or any short course irakayonisaidia kujiajiri, sio kwa ajili ya kumiliki tu masters certificate..Any advice kwa...
Najua mwisho wa undergraduates kukamilisha registration OUT ni August 31. Mimi mpaka sasa sijakamilisha kwa vile mtandao uko very complicated! Je naweza kutuma maombi manually na mavyeti yangu...
Hii ni wiki ya tatu tokea mafunzo ya vitendo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu yaanze, lakini fedha za mafunzo hayo ambayo loan board iliingia mkataba na hao wanafunzi hawajapatiwa! wanafunzi wapo...
Mpaka sasa (inaelekewa wiki 4) kuna wanafunzi wa baadhi ya vyuo vikuu hapa nchini hawajapata pesa yao ya field (mafunzo kwa vitendo) kutoka loan board kinyume kabisa na mkataba wao na bodi hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.