Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Rais Kikwete amemteua Dkt. Charles Msonde kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA), kuchukua nafasi ya nafasi iliyoachwa wazi na Dkt. Joyce Ndalichako, ambaye amerudi...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari za mchana wana JF. Kuna mdogo wa rafiki yangu amekosea namba ya kujaziaa form zile za TCU, amejaza ya mwenzake wa pembeni yake sasa hapo itakuaje maana info zingine kama jina mahali yote...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
S/msingi chato iliyofanya vibaya sana katika matokea ya darasa la saba mwaka 2013 imetunikiwa kikaragosi, sura kama kinalia alafi wapokeaji wanaona poa tuu! Hii itasaidia shule kuimprove?
0 Reactions
1 Replies
839 Views
Katika ndoto za maisha yangu ni kua na elimu kama ya aliyekua profesa wa history wa Ivory Coast-Laurent. Naombeni ushauri wenu kua masters nisome Course gani ili niwe Professor wa History.
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Msaada wenu please! modem ninayotumia inanizingua kulogin www.kilimo.go.tz naomba mnichekie BENJAMIN STEPHEN na JEAZ JOEL ngazi ya cheti.
0 Reactions
3 Replies
16K Views
Waliochaguliwa kujiunga na chuo cha afya Mvumi barua za maelezo ya kujiunga(joining instructions) zimetoka?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Hili nalo kutokuelewa mipaka ya lugha au ugumu Wa kushika lugha za kigeni?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Walimu wa msingi Manispaa ya moshi S,lp 318 Moshi 2/08/2013 Katibu mkuu/Tamisemi Dodoma s.l.p Dar es Salaam YAH . KUMLALAMIKIA AFISA ELIMU WA SHULE ZA MSINGI MANISPAA YA MOSHI...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Commonwealth Scholarships for Developing Commonwealth Countries Last updated: 14 Aug 2014 | DFID Master’s/PhD Degree Deadline: 3 Dec 2014 (annual) Study in: UK Course starts AY 2015-2016...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Anayejua wapi naweza pata PDF ya "Data and Computer Communications 10th Edition - William Stallings" tafadhari anijurishe .
0 Reactions
3 Replies
2K Views
jamani inatoka lini
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wakuu, ningependa kujua kama kozi za uhandisi katika chuo cha kilimo sokoine kama IRRIGATION AND WATER RESOURCES ENGINEERING na AGRICULTURE ENGINEERING baada ya kuhitimu unapangiwa kazi na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama unajua chuo chochote knachofundisha kozi tajwa hapo juu kwa ngazi ya cheti na diploma naomba unifahamishe kwa kuandika jina na mawasiliano kama yapo nasubiri msaada wenu wapendwa
0 Reactions
4 Replies
6K Views
yeye ni mwanafunz wa mwaka wa kwanza katika chuo flan hapa dar. Alifiwa na mama yake mzazi na akapata taarifa za msiba masaa machache kabla ya kuanza mtihani wake wa kwanza wa kumaliza semister ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
mia ya nn? kama umeamua kusaidia watu yamwage hapa.
0 Reactions
7 Replies
13K Views
Jamani naomba mtu mwenye taarifa na mipango mipya ya serikali juu ya nafasi za masomo ualimu cheti aniambie naona kimya kirefu, au BRO
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Ikiwa ni wiki ya nane tangu mafunzo kwa vitendo(fieldwork) kuanza wanafunzi wa Elimu ya juu hawajapata fedha zao za kujikimu,hivo SIKU YA IJUMAA,TAREHE 15/08/2014 yatafanyika maandamano ya Amani...
2 Reactions
52 Replies
7K Views
Habari wanajamvi, naomba kufahamishwa namna ya kupata/kucalculate GPA kwa mwanafunzi wa form iv 2014 atayepata Civ=C, Maths=D, kiswahili=A, English=B, Bios= C, Hist= D, B/K= C, Com=D...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Wanajamvi, kiambatisho kilichoambatishwa ni majina ya ajira za Ualimu kwa mwaka 2014 kwa wahitimu ngazi ya shahada ya elimu (Degree level) na Mikoa na Halmashauri walizopangwa. Niwape hongera...
9 Reactions
165 Replies
100K Views
Serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia taasisi yake inayohusika na mikopo yaani BODI YA MIKOPO KWA WANFUNZI WA ELIMU YA JUU imepitisha kuwa kwa wanafunzi wote watakao soma diploma ya...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…