Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wadau ninaomba kufahamu ni wapi ninaweza human resourse information system (HRIS) Mwenye taarifa naomba anijulishe ni muhimu sana kwang.
0 Reactions
1 Replies
943 Views
Come in Dodoma . Sec depertmnt for a teachr from Tarime or nearby distrct.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
naomba kuulza wadau,hizi pesa kwaajili ya mafunzo kwa vitendo bod ya mkopo inatoa lini mbona ni muda mrefu tangu 2mesaini?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wajuzi naombeni mnijuze hivi kuna posibility ya kua nani ukisoma hii kombi? Yani kama vile ukisoma PCB kuna posibility yakua doctor
0 Reactions
15 Replies
8K Views
wakuu kwa mwenye ufahamu na hii fakati ya land management ant valuation, mtu akshasomea ataajliwa kama nan, pia ajra vp?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Uliza swali Lolote kuhusu hiki chuo npo online...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
nimehitimu form six na nimepata div 3 kwa comb ya CBG=CCD nilikua nataman kupata DEGREE OF PETROLEUM FRM UDSM nahitaj ufahamu kwa mwenye kuelewa course hiyo
0 Reactions
2 Replies
980 Views
Naombeni msaada Wa Maelezo,Kama Mtu akipata Four ya 14 mwaka Huu katika Mchepuo wa EGM Na Akawa Ana principle Pass Mbili Economics=C Geo=C Math=E JE ANAWEZA PATA CHUO KIKUU CHA KUSOMA NA KOZI...
0 Reactions
0 Replies
693 Views
Kwa aliesoma hge anaweza kupiga course gani za sayansi akiwa na background nzuri ya o-level kwa masomo ya sayansi(physics na chemistry)
0 Reactions
0 Replies
921 Views
Naombeni msaad anaefahamu juu ya vyui vya udactari,tulio omba kujiunga na vyuo vya vya uuguzi eti majina yameisha toka,naomba mnijuz kwa anae fahamu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Juzi wanafunzi wa UDOM waliobaki kwenye field katika college ya INFO (CIVE) wanaokula ujasi ya INFO waliwekewa sumu kwenye mpango ulioratibiwa na mzabuni anayeendesha cafeteria ya INFO. Mchezo...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Nimexoma PCM matokeo ni kama hv phz D, chem B, math C ningependa kujua ni koz gan nzur niapply, pia napenda kusoma DIT au UDSM je nitumie technic gan katika kuapply ili npate hivyo vyuo
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Coz ipi bora na yenye tija zaidi kati ya hizi,(1) B.commerce in banking &financial services (2) Bsc with education
0 Reactions
4 Replies
1K Views
tafathali naomba ushauri. Nataka nisome Open university degree ya education kwa kua sina uwezo wa kusoma vyuo vingine kwani sina pesa za kutosha lakini hofu niliyo nayo ni ya ajira ,nataka nijue...
0 Reactions
2 Replies
984 Views
mod please naoma usiitoe hii watu wajifunze na wakijua watajilinda na mambo ya mtandao na technology wana jukwaa niliandika hii topic mods aliamua kuitoa nafikili hakujua kuwa unapo fahamu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mnamjua odoooong ..... Odwar naamini wengi mnakumbuka migomo ya vyuo vikuu kipindi cha 2006 - 2010. Nyuma yake kulikuwa na mtu anaitwa odong odwar mwanafunzi wa udsm raia wa uganda akisoma...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
mimi ni mwalimu Angelina Simwanza Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae, yeye adje Mtwara wilaya ya Tandahimba Mjini shule ya msingi Amani awe ni mwalimu aliyetoka wilaya ya KAHAMA mkoa wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Msaada: nimeshikishwa iphone 5 laki 3, hairegisti kwani mmiliki aliifuta. Naweza kuiokoa wapi?
0 Reactions
1 Replies
854 Views
Hatimaye katibu mkuu wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi amepanga kutembelea Chuo cha Ualimu Monduli kesho tarehe 24/07/2014. Aidha katika utaratibu ambao unaoneka wa kibabe Mkuu wa Chuo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom