Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Naomba kufahamu simple basics za pharmacy ifundishwayo UDOM, je, soko lake la ajira limekaaje? Kuna degree au diploma? Ni kozi zipi hufundishwa ktk diploma ya pharmacy? Nini hasa hufundishwa ktk...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Jaman hii shule mazingira yake ni mazur? nataka nimhamishie mdogo wangu akasome hapo..msaada wenu plz
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwa tuliomaliza diploma nta level 6 2014 mbona kwenye system (CAS) miaka iliyowekwa ni 2010-2013 kwa sisi mbona mwaka 2014 haupo?tunafanyaje na deadline ni 31 july? msaada tafadhali
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Kwaaliye na link yakupata majina ya wanafunzi walioomba mkopo HESLB yale yaliokosewa namuomba.
0 Reactions
0 Replies
691 Views
HUPENDA KUJIFAMISHA NA ELIMU DINI TOFAUTI TOFAUTI.NIMELIONA HILI LEO NAOMBA ELIMU HAPA. Friday, July 25, 2014 Chief Kadhi calls for clear guidelines on Ramadhan fast...
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Mimi mwaka jana nilifanya mtihani kidato cha sita na matokeo yakawa hiv Hist=F, geography=F , english=E , gs=S na mwaka huu nilivorudia matokeo yakawa hivi hist=E geog=c je wanajamvi nikiomba kwa...
0 Reactions
1 Replies
943 Views
Habari wadau wa JF Nimefungua uzi huu kwa yoyote mwenye kutaka kujua zaid kuhusu chuo hicho, location, kozi wanazotoa, taratibu za application na mambo mengine ya msingi unayotaka kujifunza...
0 Reactions
16 Replies
9K Views
Habari za leo wanajamvi kuna mdogo wangu anataka kusoma postgraduate diploma in Education kuna mdau kaniambia serekali haiajiri tena hawa watu wa PGDE NI KWELI WADAU MLIOPO SECTOR YA ELIMU.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Tunaushahidi kuwa unakuta jina la mwanafunzi leo lipo cha ajabu kesho unalikosa.Na space ya jina hilo ina jina jingine.Uzuri kila mlipokuwa mnatoa majina mimi nimeyasevu.Na yanazidi kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mbona hii ni dharau kubwa sana? Kwann wanyonge tunaonewa hivyo?hivi wazir wa elmu kaz yake ni ip? Yaan mnafisad mpaka pesa za wanafunz wa vyuo vikuu? Ina maana waziri wa elmu hajui kama mpaka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
InSight: Special Lecture series @ MYRA (13) “Taming the Hydra: Combining Research, Development, Outreach, and Social Responsibility to maximize Impact in a Cultural Heritage Project” By Dr...
0 Reactions
0 Replies
841 Views
Habari zenu. Hongereni wale mliofaulu ...nina vitu muhimu vya kushiriki na nyie siku ya leo hasa kwa kwenye uchaguzi wa kozi vyuoni. 1. Jitahidi kupata taarifa sahihi za kozi unayo/unazotaka...
2 Reactions
20 Replies
8K Views
Nani mwenye ufahamu na hiki chuo.nimesikia mahala kua ni moja ya vyuo vinavyolipa vizuri staff wake japo hakina jina sana.na kinatoa kozi gani?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habr zenu wanadungu.. Naombeni ushauri juu ya course hizo mbili yaan Human resourse na PA. Nahtaji kufanya specialization katka course mojawapo kat ya hizo
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Soma kwa makini na msaidie wenzako kupata haya masomo nawatakia kufaulu sana.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Wadau wa elimu nchini wameonyesha kushtushwa na matokeo ya mtihani wa kidato cha sita kuonyesha kuwa asilimia 95.98 ya watahiniwa wamefaulu mtihani huo bila kuwapo na mikakati...
5 Reactions
47 Replies
9K Views
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimepandisha ada kwa mwaka wa masomo 2014/2015 kwa shahada za Juu yaani Masters, Post Graduate Diploma na PhD. Mfano Masters (Full time) ada itakuwa 3, 425,000.00...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Wadau kuna mtu anakifahamu au anasoma hapo kwa sasa kwenye hiki chuo anipe taarifa zake kwa kifupi?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari zenu wadau, nina utata juu ya maana halisi ya Profession na je nini vigezo vya profession? Lakin je kama huko duniani professional zina bodi lakiini kwa hapa bongo hazina je zitakuwa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari wadau, naomba msaada wenu, gharama za kusoma masters katika vyuo vyetu hapa nchini hasa evening zikoje? Na Je? ni chuo gani chenye gharama nafuu na elimu yake ni bora? nimejaribu kucheki...
1 Reactions
27 Replies
26K Views
Back
Top Bottom