nimehitimu form six na nimepata div 3 kwa comb ya CBG=CCD nilikua nataman kupata DEGREE OF PETROLEUM FRM UDSM nahitaj ufahamu kwa mwenye kuelewa course hiyo
Naombeni msaada Wa Maelezo,Kama Mtu akipata Four ya 14 mwaka Huu katika Mchepuo wa EGM Na Akawa Ana principle Pass Mbili
Economics=C
Geo=C
Math=E
JE ANAWEZA PATA CHUO KIKUU CHA KUSOMA NA KOZI...
Juzi wanafunzi wa UDOM waliobaki kwenye field katika college ya INFO (CIVE) wanaokula ujasi ya INFO waliwekewa sumu kwenye mpango ulioratibiwa na mzabuni anayeendesha cafeteria ya INFO.
Mchezo...
Nimexoma PCM matokeo ni kama hv phz D, chem B, math C ningependa kujua ni koz gan nzur niapply, pia napenda kusoma DIT au UDSM je nitumie technic gan katika kuapply ili npate hivyo vyuo
tafathali naomba ushauri. Nataka nisome Open university degree ya education kwa kua sina uwezo wa kusoma vyuo vingine kwani sina pesa za kutosha lakini hofu niliyo nayo ni ya ajira ,nataka nijue...
mod
please naoma usiitoe hii watu wajifunze na wakijua watajilinda na mambo ya mtandao na technology
wana jukwaa niliandika hii topic mods aliamua kuitoa nafikili hakujua kuwa unapo fahamu...
Mnamjua odoooong ..... Odwar
naamini wengi mnakumbuka migomo ya vyuo vikuu kipindi cha 2006 - 2010. Nyuma yake kulikuwa na mtu anaitwa odong odwar mwanafunzi wa udsm raia wa uganda akisoma...
mimi ni mwalimu Angelina Simwanza Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae,
yeye adje Mtwara wilaya ya Tandahimba Mjini shule ya msingi Amani awe ni mwalimu aliyetoka wilaya ya KAHAMA mkoa wa...
Hatimaye katibu mkuu wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi amepanga kutembelea Chuo cha Ualimu Monduli kesho tarehe 24/07/2014.
Aidha katika utaratibu ambao unaoneka wa kibabe Mkuu wa Chuo...