Naomba kufahamu simple basics za pharmacy ifundishwayo UDOM, je, soko lake la ajira limekaaje? Kuna degree au diploma? Ni kozi zipi hufundishwa ktk diploma ya pharmacy?
Nini hasa hufundishwa ktk...
kwa tuliomaliza diploma nta level 6 2014 mbona kwenye system (CAS) miaka iliyowekwa ni 2010-2013 kwa sisi mbona mwaka 2014 haupo?tunafanyaje na deadline ni 31 july? msaada tafadhali
HUPENDA KUJIFAMISHA NA ELIMU DINI TOFAUTI TOFAUTI.NIMELIONA HILI LEO NAOMBA ELIMU HAPA.
Friday, July 25, 2014 Chief Kadhi calls for clear guidelines on Ramadhan fast...
Mimi mwaka jana nilifanya mtihani kidato cha sita na matokeo yakawa hiv Hist=F, geography=F , english=E , gs=S na mwaka huu nilivorudia matokeo yakawa hivi hist=E geog=c je wanajamvi nikiomba kwa...
Habari wadau wa JF
Nimefungua uzi huu kwa yoyote mwenye kutaka kujua zaid kuhusu chuo hicho, location, kozi wanazotoa, taratibu za application na mambo mengine ya msingi unayotaka kujifunza...
Habari za leo wanajamvi kuna mdogo wangu anataka kusoma postgraduate diploma in Education kuna mdau kaniambia serekali haiajiri tena hawa watu wa PGDE NI KWELI WADAU MLIOPO SECTOR YA ELIMU.
Tunaushahidi kuwa unakuta jina la mwanafunzi leo lipo cha ajabu kesho unalikosa.Na space ya jina hilo ina jina jingine.Uzuri kila mlipokuwa mnatoa majina mimi nimeyasevu.Na yanazidi kuwa...
Mbona hii ni dharau kubwa sana?
Kwann wanyonge tunaonewa hivyo?hivi wazir wa elmu kaz yake ni ip?
Yaan mnafisad mpaka pesa za wanafunz wa vyuo vikuu?
Ina maana waziri wa elmu hajui kama mpaka...
InSight: Special Lecture series @ MYRA (13)
Taming the Hydra: Combining Research, Development, Outreach, and Social Responsibility to maximize Impact in a Cultural Heritage Project
By
Dr...
Habari zenu. Hongereni wale mliofaulu ...nina vitu muhimu vya kushiriki na nyie siku ya leo hasa kwa kwenye uchaguzi wa kozi vyuoni.
1. Jitahidi kupata taarifa sahihi za kozi unayo/unazotaka...
Habr zenu wanadungu.. Naombeni ushauri juu ya course hizo mbili yaan Human resourse na PA. Nahtaji kufanya specialization katka course mojawapo kat ya hizo
Dar es Salaam. Wadau wa elimu nchini wameonyesha kushtushwa na matokeo ya mtihani wa kidato cha sita kuonyesha kuwa asilimia 95.98 ya watahiniwa wamefaulu mtihani huo bila kuwapo na mikakati...
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimepandisha ada kwa mwaka wa masomo 2014/2015 kwa shahada za Juu yaani Masters, Post Graduate Diploma na PhD. Mfano Masters (Full time) ada itakuwa 3, 425,000.00...
Habari zenu wadau,
nina utata juu ya maana halisi ya Profession na je nini vigezo vya profession? Lakin je kama huko duniani professional zina bodi lakiini kwa hapa bongo hazina je zitakuwa...
Habari wadau, naomba msaada wenu, gharama za kusoma masters katika vyuo vyetu hapa nchini hasa evening zikoje?
Na Je? ni chuo gani chenye gharama nafuu na elimu yake ni bora? nimejaribu kucheki...