Shalom wanajf,Naomba kwa wanaofahamu kinagaubaga juu ya hiyo kozi, anisaidie kufafanua mtu atakayesoma kozi hii atapata kujifunza juuu ya nini, field anaweza kufanyia wapi pia hata kikazi ataweza...
Kutokana na mkanganyiko unaoendelea kuhusu matokeo ya kidato cha sita 2014,tuangalie kwanza TCU wanataka nini.
ukiangalia ukurasa wa 9(chini kabisa)wa kitabu cha TCU unasema kwamba...
The Makerere University Vice Chancellor, Prof John Ddumba-Ssentamu (right), leads a procession during a graduation at the institution
By Patience Ahimbisibwe, The Citizen...
kwa anayefahamu chuo hicho tafadhali anijuze nimechaguliwa hapo certificate in clinical medical /assistant clinical officer.... je chuo ni serikali au private. jografia na majengo pamoja na...
Sakata la mali za John Komba kupigwa mnada kufuatia deni la Tsh bilion 1.2 analodaiwa na benki ya CRDB limefikia tamati baada ya mfanyabiashara nguli na Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Bw Yusuf...
Jaman mim ni muajiriwa mpya huku wilaya mpya ya buhigwe mkoa wa kigoma idara ya sec.
naomba kupewa utaratbu wa kuhama kituo cha kazi kwenda mkoa wa arusha,tanga au kilmanjaro bila kubdlshana na...
Ndugu wanajamii forum ,pamoja na wadau wengine jana nilileta hapa madai yangu jinsi ninavyoteseka sn kwa kupoteteza vyeti vyangu vya O and A level.
Wadau mbalimbali wa hapa jamii forum...
Ndugu wadau sisi wanafunzi wa Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere-Kigamboni tunaomba mtufikishie ombi letu kwa Serikali kupitia Wizara ya Elimu ili iinusuru Chuo hiki.
Tunakaribia kurudi...
Najivunia kuwa miongön mwa tuliopitia hapo na kufanikisha malengo yangu,shukran zmendee mkuu chungu,madam asha,nshanganiye,baba ludo nk, nakupenda minaki
Habari waungwana wa JF!
Naombeni msaada wa kupata vitabu/vitini vya kiswahili kwa ajili ya kujifunza 'creative writing'. Nahitaji kujifunza mimi mwenyewe ili niwe naandika vitu (kama hadithi fupi...
Mimi ni mwalimu idara msingi nipo Mtwara ninatafuta mwalimu wa kubadirishana nae kutoka Mikoa ya Iringa, Mbeya, Njombe, Rukwa, Morogoro katika wilaya yoyote kwa mikoa tajwa kama yupo ani PM