Wakuu wana jf msaada na ushauri wenu.Nina mdogo wangu yeye ana vyeti vya taaluma ya Early Childhood na Community Development.Anahitaji kujiunga Diploma je asome ipi kati ya DIPLOMA IN EARLY...
WanaJF:1. Loan Board wanatoza sh 30,000/- (non refundable) kwa kila mwombaji. Waliohitimu F6 2014, wote takribani waliomba huku wakisubilia majibu ya mtihani wao wa mwisho;2. TCU hivi sasa...
Kwa vijana wa chuo, wapenda maendeleo Umri kati ya miaka 18-40, Kambi maalum ya kimataifa kwa vijana inatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 3-17, Agosti, 2014 na nyingine 31,Agosti-...
Modds sijui mtafanyaje, lakini angalieni namna ya kuwafikishia ujumbe hawa wadogo zetu waliofanya Application kupitia NACTE kwa kozi za Afya. First batch imetoka kwa waliokuwa selected., tatizo ni...
Habari wanajamii?
Mimi ni muajiriwa kwenye kampuni fulani mkoani morogoro, naomba msaada kwa yeyote anayefahamu mahali ninapoweza kupata utaalamu wa advanced excel.
Sio muhimu sana kupata...
Nimepitia website ya tcu nimeona kwa art kupata mkopo lazima awe na point 4 ila kwa upande wa sayansi sijajua napitia website ya bodi sioni wadau ka kuna mtu anajua naomba atujuze!!!
Sent from...
poleni na majukumu wadau
lei nimepita sehemu nimeona vijana waliomaliza form six wakisimuliana maisha ya chuo kikuu wakanikumbusha mbali sana hasa fujo za wanafunzi mda boom likitoka...
Heshima kwenu GT.
Mimi ni mmoja wa wahitimu niliofanya vibaya katika matokeo ya kidato cha sita. Sasa nataka nitumie cheti changu cha form 4 nikasome diploma ya madini. Ukiacha chuo cha madini cha...
wadau nimechelewa kutuma application kwa ajili ya course ya uwalimu ya bridging tafadhali kwa mdau yyt anayeweza kuniunganisha na chuo husika ani pm.
NB.Any joke it's better to comment nothing
Kwa muda mrefu sasa imekuwa nikisikia wazazi na wanafunzi wakilalamikia kufanya vibaya katika mitihani ya masomo ya sayansi. Mojawapo ya sababu ya kutofanya vizuri wamekuwa wakisema ni kutokuwa na...
Hii ni SPECIAL THREAD kwa ajili ya wale wenye maswali juu ya chuo cha IMTU (International Medical and Technology University).
Maalum kwa ajili ya maswali, ufafanuzi na taarifa kadhaa juu ya Chuo...
Kuna jamaa yangu anasoma UDSM mwaka wa pili, leo kanishangaza kwa kuniambia kwamba kuna baadhi ya wahadhiri wa chuo hicho, wakiwemo maprofesa, ambao husomesha tuisheni kwa baadhi ya wanafunzi wa...