habari zenu?
jamani naombeni ushauri
nimejaaliwa kufaulu kidato cha sita nakupata matokeo haya
Gs-'C'
Geography-C
English-B
Kiswahili-B
hv faculty gani nzuri ya kusomea na chuo kipi kzuri...
1:-Imehitimisha mara 4 mpaka sasa
2:-Ina vyumba v4 vya madarasa.
3:-Wanafunzi wapo 498 ila ina madawati 63 tu.
4:-Ina ofisi 1 tu.
5:-Haina hata tundu 1 la choo ya kudumu
6:-Eneo la shule ni ekari...
Wadau hbr za muda huu?
naomba kujuzwa taratibu za kusoma "QT" na sehemu gani nzuri mtu anaweza kuipata elimu hii!! kwa Dar es salaam
Kwa kipindi hiki mtu anaweza kujiunga na kufanya mtihani wa...
Habari zenu wakuu.
Labda niende moja kwa moja kwenye mada yangu ambayo ndiyo shida yangu kimsingi.
Kuna yeyote anayeifahamu au anahusika kwa namna moja au nyingine katika shule tajwa hapo juu...
Kipindi kuanzia mwaka 2010 kurudi nyuma wakati chuo cha IFM kinatoa advance diploma na wala sio degree ni tofauti sana na sasa baada ya kuanza kutoa degree.Ifm ilikuwa ni sehemu ya maonyesho ya...
Naona kila mmoja anashangaa matokeo ya shule fulani kuwa mazuri sana wakilinganisha na shule zingine.
Shule ambayo wanafunzi wanafundishwa na waalimu (na kusimamiwa na Patrons or Matrons) ambao...
Bachelor of Arts in Public Administration :
Program description
Students pursuing a Bachelor of Public Administration (BPA) degree will develop leadership, analytical, organizational...
Bachelor of Arts in Public Administration :
Program description
Students pursuing a Bachelor of Public Administration (BPA) degree will develop leadership, analytical, organizational...
Habari wana JF..katika vyuo vilivyotajwa hapo kipi ni kizuli kwenda kusomea kozi za engineering kama civil etc..kuanzia mazingira mpaka ubora wa elimu.
msaada wakuu!
Samahani wana jamvi ni vyuo gani nje ya nchi ambavyo vinatowa vyeti kwa online study au kwa kufanya mitihani yao mbalimbali online naombeni mnitajie ili nami nfanye ila ukikiacha Alisson ntajieni...
Jamani..naombeni ushauri wenu..nichukue engineering gani..nimemaliza form six..na kwasasa ndo tunajaza kozi na vyuo vya kusomea..naombeni mniambie nichukue engineering gani kati ya hizo na...
Akiongea na Radio5 katika kipindi cha GOOD MORNING TANZANIA asubuhi hii kaimu mkurugenzi wa bodi ya mikopo ya elimu ya juu bwana Asanje Bangu amejibu swali la mtangazaji aliyetaka kujua ni kwa...
Wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi imeratibu mafunzo kabilisho kwa vijana 374 chuo cha ualimu Mambo bduli.Aidha mafunzo haya yalifanyika chuo cha ualimu Morogoro miaka ya nyuma,wakufunzi hao...
Kama serikali imeamua kurekebisha grading system kutoka O. level hadi form six basi io haja pia ya kuweka mpango mpya wa kudahili watu kuiunga na vyuo vikuu.
NİNİ MCHANGO WAKO MDAU...