Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Naombeni mnijuze tetesi ya matokeo kidato cha sita 2014 yanatoka lini? na adi sasa tetesi za matokeo zipoje? ahsanteni.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Naomba msaada kwa anayejua kuhusu hlo wakuu.
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari wakuu namtafuta mwl paul mwita mara ya mwisho alikuwa kahama.anayemfahamu naomba amfikishie ujumbe0788628489.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeingia kwenye facebook yao naona watu wanapongezana kwa kuchaguliwa kupata vyuo je kuna mwenye uhakika naomba tujulishane
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naombeni msaada jamani, dada yangu amechaguliwa kidato cha tano Loreza Sec-Mbeya, hatujapata joining instruction naomba kujua mahitaji ya muhimu na aina ya sare ili nimuandalie. Naombeni msaada huo.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naombeni msaada wakuu wa joining form au namba ya simu ya mwalimu
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Uhamisho walimu kea mwezi june tafadhali. Nani anataarifa yoyote.?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wana JF, Salaam. Naomba kwa yeyote mwenye uwezo wa kupata joining instruction ya shule tajwa hapo juu anisaidie. Pia kama kuna mwenye contact za mkuu wa shule hiyo naomba anipatie.Nasikia ni shule...
0 Reactions
17 Replies
8K Views
Kwa wale statistician ,naomba mnijuze what is the ideal decimal places for correlation values especially r,can i write all significant figures as they appear in calculator!
0 Reactions
0 Replies
657 Views
Karibu msomaji wa AMKA MTANZANIA kwenye kipengele hiki cha ushauri kwa wahitimu. Kupitia kipengele hiki tunatoa ushauri kwa wahitimu ambao ndio wanaingia mtaani, ushauri huu unawafaa hata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hebu jionee mwenyewe nyongeza ya mishahara ya walimu kuanzia july mosi,TGTSA=355200 ni sawa 20%,TGTSB=578683 sawa 17%,TGTSC=745780 sawa 15%,TGTSD=963254 sawa 13%,TGTSE=1120657 sawa...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Serikali mpaka sasa imesha tangaza ajira za walimu kwa awamu tatu lakini kuna walimu walio ajiriwa awamu ya kwanza mpaka sasa awajapata mishahara yao. Mfano wilaya ya Ulanga mkoa wa Morogoro...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
kama kuna yeyote aliechaguliwa kilangalanga sekondari advnc level naomba aniin4m!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
UDSM, DUCE, MUCE, wasainishwa ili wasigome na wameondoka huku wengine wakikwama dar kwa kukosa nauli.Baadhi ya kozi wameanza field leo ila hakuna pesa...poleni sana vijana wetu hii ndio serikali...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana jamii forums naomba msaada juu ya hilo kuna kijana kachagulwa hapo. au naomba msaada wa namba ya mwalimu yoyote pale.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarini ndugu zangu... Nahitaji kujiendeleza na masomo, kusoma master's mimi nina degree ya kwanza ya accounts na ninahitaji sana kuendelea na degree ya pili na sina idea degree ipi ya pili...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Msada jamani kusomea diploma in primary na kupitia advance kipi bora?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
bodi ya mkopo HESLB itatoa awam ya pili ya kutuma maombi lini? naombeni mnjuze wadau
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Walimu jikomboeni kwa hii taarifa mpya ya marekebisho ya katiba cwt.. Msisahau kuweka mabo haya.. 1.kuwe na fao baada ya kustaafu mana unatoa makato mengi. 2. Kuwe na hiyari ya mwalimu kujiunga...
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Wakuu naombeni msada kwa anayefaham ju ya tulioachwa kuchaguliwa kwenda kusoma advanc ambapo 2mefaulu kwa kiwango cha daraja la tatu,wanatupeleka wapi? Naomba explanation ju ya hili...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…