Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wandugu nimeamua niwajuze kesho wale wa final stage module F tunaanza kesho kwa Edison pale mnazi mmoja primary opp na Lumumba ofisi za ccm mkoa wa DSM au opp na crdb bank tawi la vijana
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Naomba nijitambulishe kwanza mimi ni mwanafunzi wa UDOM ambaye nilidisco UDSM. Sasa tokea nimeanza kusoma hapa UDOM kuna mambo nayaona hayako sawa. kama inavyojulikana wanafunzi wa hapa wengi...
7 Reactions
188 Replies
35K Views
mim idar ya msing nip TABORA WILAYA XA NZEGA natafuta mwl wa kucdilishana naye kutoka KARATU, ARUSHA,MANYARA Au geita wilaya ya bukombe nitafuta NO.0758405749
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kupata elimu kutoka kwenu juu ya sheria ya kufuga wanyama pori. Napata shida kufahamu ni wanyama wa aina gani ambao wanahitaji kibali maalumu ili niwafuge. Watu wanafuga Kanga, samaki, n.k...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kujuzwa nafasi za masomo veta zinatoka lini lini kutolewa mwaka huu
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu kati ya hizo mbili hapo ipi inatoa engineers ambao wapo competent zaidi au walio na ujuzi mkubwa zaidi ktk engineering fields.
0 Reactions
1 Replies
682 Views
Kwa yule anayejua michepuo ya shule ya sekondari nsumba naomba anijuze.
0 Reactions
0 Replies
5K Views
0 Reactions
0 Replies
894 Views
Jaman wakuu nmekuw nkiwaza san hili suala la wa2 kuiponda UDOM kw mda mref, coz utackia ooh mara hamna cjui; 1.maji hakuna 2.walimu vilaza 3.wanafeli san 4.chuo cha CCM 5.vilaza 6.wanafunz...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hgl
Napenda Kuuliza Eti Mtu Anae Chukua Mkondo Wa HGL, anaweza fanya kazi gani mbeleni? je ni nzuri?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi ni kweli wadau wa jf eti kuna chaguo la pili kwa wale ambao hawakuchaguliwa kujiunga na kidato cha 5 wakati wame shinda kutokana na huaba washule sasa watachaguliwa awamu ya pili? daah kama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nahitaji contact info za kituo cha AFC plz naomba mwenye nazo anisaidie
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Wakili Ridhiwani J. M. Kikwete amerejea rasmi UDSM kwa masomo ya Shahada ya Uzamili ya Sheria (LL.M) kwa mwaka wa masomo 2013/2014. Kozi husika inaitwa " Taught LLM in Corporate". Kozi husika ni...
0 Reactions
43 Replies
7K Views
Nawatafuta sana waliosoma kipindi hicho angalau tujikumbushe ya Mzee Massawe na Bwenge
0 Reactions
4 Replies
3K Views
kwa waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano shule ya wasichana Ruvu,waangalie maelekezo ya kujiunga na shule,kwenye web site yao,ambayo ni www.ruvugirlshighschool.sc.tz
0 Reactions
0 Replies
4K Views
HELLO MEMBERS IN JF, On behalf of NETPROZONE ICT COMPANY, have this good news: NETPROZONE ICT COMPANY, is an upcoming firm which bring together various ICT professionals who have been practicing...
0 Reactions
0 Replies
845 Views
Nina B.A.ED ya English na History, natafuta kaz O/A level schools. 0784 455405. Thanx!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
HELLO MEMBERS IN JF, On behalf of NETPROZONE ICT COMPANY, have this good news: NETPROZONE ICT COMPANY, is an upcoming firm which bring together various ICT professionals who have been...
0 Reactions
0 Replies
773 Views
Siku zote wadau wa elimu nimekuwa nawaambia kuwa shule yoyote inayokimbilia kuchuja wanafunzi kwa kisingizio cha uelewa mdogo wa wanafunzi wao wanawakosea adabu wazazi na wanafunzi hao . Hivi ni...
0 Reactions
0 Replies
797 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…