Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kwa wale waliofanya mitihani ya Bodi ya Ununuzi na Ugavi May, 2014, matokeo yametoka. kwa maelezo zaidi nenda PSPTB
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Wakuu naomba msaada wenu. Mdogo wangu kachaguliwa kwenda Form V (HGE) huko Galanos high school, Tanga. Kuna yeyote anayejua kama shule hii ina mazingira mazuri ya kusoma hiyo combination ya HGE...
1 Reactions
7 Replies
8K Views
Mtoto wangu anamaliza la saba; naomba msaada kujua best na perfect school kwa mtoto wangu wa kike
0 Reactions
7 Replies
5K Views
habar zenu comrades! nlikuwa naomben kukuuliza ya kwamba kitabu cha TCU GUIDE kinachoendana na mabadiliko ya alama za ufaulu kwa xaxa kimashatoka? je ni wap cha weka kupatikana?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Samahani wote,naombeni msaada wenu kwa hili. Najiunga kidato cha tano mwaka huu na comb zote zimebalance za arts na science. Nataka kusoma CBG lakin watu wengi nnaokutana nao wanasema si comb...
0 Reactions
28 Replies
12K Views
Hi guyz? A week ago, i had an ICT exam, Of the difficult questions i had experienced, here is one of them...I NEED HELP from whoever familiar of it;- "A Dell Pro 330 PC is rotating at 23.5 x...
0 Reactions
0 Replies
633 Views
Division zimefutwa saiv matokeo yanatoka kwa mfumo GPA ambapo imegawanyika kuna 1.distinction 3.7-5.0 2.merit 3.0-3.6 3.credit 1.7-2.9 4.pass 0.7-1.6 5.fail 0.0-0.6 na pass ni ufaulu wa chini...
1 Reactions
33 Replies
6K Views
Wakuu msaada wa shule nzuri ya Private kwa kombi ya PCB kwa mikoa ya Arusha na Kilimajaro, nina Dogo nataka aende huko and Div 2.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
CPA REVIEWS!!!!!!!! CPA REVIEWS!!!!!!! Je, uko Dodoma na unahitaji kujiandaa na syllabus mpya ya NBAA? Kama jibu lako ni ndiyo, basi njoo ukutane na vipaji maalumu vyenye mchanganyiko wa ACCA na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakati wananchi tukiwa tunashuhudia sera za serikali za matokeo makubwa sasa! {BIG RESULTS NOW} wanafunzi wa shule za bodi wamekua wakipata chakula kwa kusuasua kutokana na migomo ya wazabuni wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
we conduct review classes from july 08, 2014 for more information see attachment
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau habari zenu?Naulizia mwenye kujua kama musoma mjini kuna watu wa review classes za CPA (T) au la mana natafuta sehemu ya kusoma kwa ajili ya mitihani ya bodi ya uhasibu,ahsanteni sana.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wandugu, naomba msaada kupata joining instraction ya kabanga sec iliyopo ngara. mdogo wangu kapangwa huko mchepuo wa CBG
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Nina mdogo wangu amepata matokeo haya CIV-C, HIST-C, ENG-C, KISW-B, GEO-E, BIOS-E, B/MATH-F= DIV4/34 je anaweza kupata shule ya private kwa mchepuo wa HKL au HGK , AU nitamtafutie nafasi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani Mnaojua M2juze Watatangazalini Majina Yawaliochaguliwa Kwenda Ttc Mwakahu?Namiakamingine UwaWanatangaza Kipindigani,karibuni Wakuu.
0 Reactions
1 Replies
892 Views
Wakati wananchi tukiwa tunashuhudia sera za serikali za matokeo makubwa sasa! {BIG RESULTS NOW} wanafunzi wa shule za bodi wamekua wakipata chakula kwa kusuasua kutokana na migomo ya wazabuni wa...
0 Reactions
0 Replies
854 Views
Bodi ya mikopo imechekesha mwaka huu,,ukimaliza miaka mitatu iliopita ni moja ya kigezo cha kukunyima mkopo.hivi wanajua ni kwa nin mwanafunzi aliyehitimu kidato cha sita alikaa muda huo bila...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Amani kwenu wana wa jf,naombeni mnijuze hili;ni kwamba nimeaply kupitia diploma,kwenye profile yangu katika program 5 nilizochagua kwenye vyuo tofaut tofaut,program 4 zinaonesha admission capacity...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nina ndugu yangu amemaliza kidato cha nne na amefaulu tu vizuri cha kushangaza aja pangiwa katika posts amekata tamaa mana baba yake ana dhani ajafaulu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ndugu zangu naombeni aliyechaguliwa hii shule na km unayo join naomba unitumie
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Back
Top Bottom