kwa wale wanachuo waliomaliza mwaka masomo 2011/2012 waliokuwa BED SCIENCE walikuwa wanadaiwa 1000000 kwa sababu HESLB ilileta hela pungufu. sasa cha ajabu ni kuwa wahasibu wa college ya education...
Naomba mwenye kujua shule ya sekondari ya serikali iliyopo maeneo ya wilaya ya kinondoni wanayotoa accomodation, na iwe maeneo ya tegeta, kijitonyama au mbezi ya kimara nijuzeni wadau
Habari! form za kujiunga na Msc/Phd zimetoka Nelson mandela African institution of science and technology.kwa mwenye sifa tembelea The Nelson Mandela African Institution of Science and Technology...
Mdogo wangu kamaliza mwaka huu form six hajachaguliwa bado kwnd jeshini hvy anajipanga na chuo; amesomea PGM ; nataka kujuzwa chuo wanaanza lini process za admission? Na je mambo ya mkopo yakoje...
mi Nina mdogo wangu amemaliza kidato cha Nne mwaka 2013,
Anaenda chuo cha Afya cha st.bhakita namanyere kozi ya MEDICAL LABORATORY
naomba mnisaidie Kama hii kozi inawweza kumpatia kazi...
Wanajukwaa Habarini Najitokeza kuuliza kwa yoyote anaejua kama kuna uwezekano wa kurecover losted form 4 certificate kutoka NECTA na document wanazohitaji kama zipo Asanten.
Ninaomba mwenye dictionary tajwa hapo juu anisaidie coz ilikuwa inanisaisia sana. niliyokuwa nayo imepotelea kwenye mashine yangu iliyopotea. mwenye nayo anaweza kunitumia kwenye e-mail...
Msaada wakuu kwa anayefahamu form five wanaingia lini anitarifu au mwenye namba ya simu ya mtu yoyote anipe kuna mdogo wangu yuko kijijini hajapata join instruction na hajui lini wanafungua
Jamani naombeni mnijulishe Kwa Mwenye uelewa nime lipia bodi ya mikopo ya elimu ya ju sh.30000 Kwa mpesa, wamenitumia sms kwamba pesa imesha lipwa lakini Kila niki login inakataa nashindwa kujaza...
Huyu jamaa ni tapeli sana.. Anatazama namna watu mnavotaka kubadilishana vituo vya kazi then ataku-pm.. Utamuona anajifanya anajua issue yako then ukimchunguza utaona mengine hajui. Akikupgia Simu...
Naandika kwa masikitiko hii taarifa jamani wakubwa zangu shikamooni,vijana wenzangu habarini za muda huu,...kama inavyofahamika wizara ya elimu imetoa tangazo la nafasi za masomo ya kidato cha...
Wanafunzi wa chuo kikuu kishiriki cha elimu dar es salaam, wameanza vugu vugu la maandamano kuishinikiza bodi ya mikopo kuwapa fedha zao za mazoezi kwa vitendo(field) wanafunzi hao wamesema chuo...
Book Review: The Democratic Republic of the Congo, Between Hope and Despair (Michael Deibert, 2013)
Contributor: Soraya Aziz Souleymane
Michael Deibert's The Democratic Republic of the Congo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.