Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Jaman wapendwa nisaidieni naskia kuna movie za kivita ukicheki ni sawa unakula pindi darasani,je nazpataje hizo
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wana JF naomba ushauri wenu kuhusu hizi combination kati ya PGM na PCM ni ipi ina manufaa hapo baadae?
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Problem solved, no more comments.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
msaada jamani kuhusu chuo cha ualimu grade A chochote cha private hapa dsm ada isizidi 600000 day naomba jina la chuo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
RATIBA YA MTIHANI YA KIDATO CHA NNE (CSEE) MWAKA HUU INAANZA RASMI JUMATATU OKTOBA 06, 2014, NA MTIHANI WA MAJARIBIO WA CHAKULA NA LISHE (051/2 FOOD AND NUTRITION PRACTICAL ) NA KUMALIZIKA...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
  • Closed
Asalam aleikum!!Wakuu mwenye data kuhusu quality ya chuo hiki,naona kama chuo kiko kimya hivi tofauti kabisa na SAUT,au kozi zao ni za kimya-kimya hamtaki wengine tujue.Nataka kujua pia kama na...
0 Reactions
176 Replies
20K Views
jamani leo kuna ndugu yangu nimemlipia elfu hamsini kwa ajili ya kusoma degree mwaka huu...kupitia mtandao wa nacte kwa equivalent kwa maisha ya sasa elfu hamsini ni ndefuu sana....si mchezo ivi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa taarifa tulizozipata hivi punde ni kwamba ‘wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma(UDOM) wanajiandaa kuandamana kushinikiza kupewa hela zao za mafunzo kwa vitendo’ mtoa taarifa amesema chuo...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Kuna rafiki yangu hajachaguliwa kwenda 4m5 ila anataka kusoma ualimu katika chuo chochote cha private kilichopo morogoro,dar,dom au kilimanjaro chenye gharama nafuu.hivyo basi kwa anaejua chuo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
ninaomba kutajiwa shule nzuri za kidato cha tano hadi cha sita za sayansi zinazopatikana Arusha au mikoa ya kinda ya kazikazini isipokuwa Tanga.
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Nimepokea Kwa Masikitiko Makubwa Kifo Cha Mhadhiri Mwandamizi na Aliyewahi Pia Kuwa Mkurugenzi Wa Iliyokuwa Redio Tanzania Dar es Salaam Na Mwandishi Wa Vitabu Na Makala Za Uhakika Mr. Nkwabi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mgomo wa migodi afrika kusini kwa muda wa miezi 5 umewawezesha leo kufikia makubaliano ya kulipwa $1200 toka $450 kwa mwezi pia kupata huduma za afya na nyumba.Jee nyie waalimu mnashindwa nini...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Baada ya kuwepo kwa sitokujua nyingi kwa baadhi ya wazazi na wanafunzi juu ya wale waliokosa nafasi za kujiunga na mafunzo ya kidato cha tano serikali imeamua kuwaita kwa kutumia njia hii ...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Kuna rafiki yangu hajachaguliwa kwenda 4m5 ila anataka kusoma ualimu katika chuo chochote cha private kilichopo morogoro,dar,dom au kilimanjaro chenye gharama nafuu.hivyo basi kwa anaejua chuo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi hii elimu yetu inaelekea wapi, leo katika kipindi cha watoto cha redioni nikasikia mwendesha kipindi anamuuliza mwanafunzi wa darasa la nne huu ni mwezi wa ngapi kwa kiingereza, mwanafunzi...
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Jamani mimi mwalimu mwenzenu katika post za walimu za mwanzo jina langu halikutokea, kama mwwenye kujua kuwa post zimetoka kwa awamu ya pili???
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Naombeni msaada wapendwa.....nahitaji kusomea ujuzi wa umeme wa magari, ngazi yangu ya elimu ni kidato cha nne sikubaatika kupata alama nzuri za masomo.Nilipata four ya 30; Civ......D Hist.....D...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
wakuu heshima kwenu, leo jumamosi, tarehe 28/06/2014;saa nane mchana, maeneo ya chuo kikuu cha dar-es- salaam, nkrumah hall, kutakuwa na kikao cha majumuisho ya kuanzishwa kwa tanzania graduate...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba kuuliza mfano labda cheti cha form 4 au 6 kimeuungua je necta wanakusaidia vp? Msaada mwenywe kujua
0 Reactions
0 Replies
837 Views
Back
Top Bottom