Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Nilikua napitia pitia website ya bodi NBAA, nimekutana na hizi news, Nikaona ni vyema ku share nanyi wadau https://www.dropbox.com/s/tilgvy7dt111mfs/newsyllabus.pdf In this world nothing is...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
jaman naomba mwenye joining instruction ya mwakaleli high school anisaidie kwa mawasiliano 0756749038 au kwa email musaizadin7@gmail.com
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Habari wandugu .. Mtoto wandugu yangu amepangiwa shule ya arusha girls sec school tumeitafuta katika orodha ya shule za serikali atujafanikiwa kuiona...nikahisi inaweza kuwa arusha sec kwa sababu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwakani ni mwaka wa uchaguzi na ndio mda wa kuibana serikali kupandisha "boom" na kwa kweli tuwe na msimamo mkaki hata kufikia hatua ya kutangaza kuwanyima kura uchaguzi Mkuu. Nguvu yenu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huu ndio wakati ambao vyuo vya elimu ya juu na vyuo vingine vya elimu Tanzania vinaelekea kwenye mwisho wa mwaka wa masomo. Kuna vyuo vingine tayari mwaka wa masomo umeshakwisha wakati wengine...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Napenda kushare nanyi hiki kitabu Prediactably irrational the hidden forces that shape our decision. Kitabu kimeandikwa na Dan ariely ambaye ni professor wa saikolojia huko MIT. Kitabu...
10 Reactions
29 Replies
4K Views
Ndugu zangu naomba kufahamu vyuo vya ualmu ngazi ya chet vya private (jinsia zote)vinavyopatikana ktk mikoa ye2..ikiwezekana naomba na mawasiliano yao...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kujuzwa km kinachukua jinsia zote.. hafu km mawasiliano yao km yapo naomba..plz
0 Reactions
0 Replies
863 Views
Tuweke wazi kwamba fitna na Majungu sasa basi hivi kwa nini,mnakuwa na chuki na wivu wa kike, Juu ya UDOM bila kuwa na Ushaidi kamili? Kama unajua umekuja kufanya usahili Udom umekosa nafasi hasa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wana JF ninaomba kama kuna mwemye nayo anisaidie bac
0 Reactions
4 Replies
7K Views
baada ya kusubiri sana hatimaye vijana leo wamedodosha wino....waitn for cash
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi nimemaliza form 4 mwaka 2013 na matokeo yangu ni divn 4.point 32 na ninataka kusoma ualimu.Ninaomba ufafanuzi kwa aliyelielewa tangazo la wizara ya elimu kuhusu ualimu.kwa matokeo yangu...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Wakuu habari za usiku huu. Matokeo ya CPA May 2014 yatatoka kesho saa saba na robo mchana. Keep informed.
0 Reactions
23 Replies
9K Views
Unafahamu Historia ya Roma na Waanzilishi wake....!!? Tazama waanzilishi Warumi waliokolewa na Mbwa Mwitu... http://brainbongo.blogspot.com/2014/07/stori-ya-watoto-wapacha-walionyonyeshwa.html
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Swali langu dogo tu sema lina msaada kwa wengi.Hivi majina ya waliomba uhamisho yanatoka lini? Na hivi wale walochelewa kupeleka barua kwa RAS et watachelewa kupata barua zao za uhamisho? Mfano mi...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Jamani me nina mdogo wangu amemaliza kidato cha sita mwaka huu sema yeye ajaenda jesh awamu hii ye anaenda second round ana presha ya ajabu.... sijapata ona sasa nataka nijue yanatoka lin...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
kuna mdogo wangu anataka achukue course ya journalism,kuna chuo nimempeleka wanasema wao wanatoa basic certificate na aldnary diplomer naombeni ufafanuzi wadau.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
amepangiwa huko naombeni msaada wenu rafiki angu ndo amepangiwa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa aliye chaguliwa MUST kama anatatzo aulize hapa
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Wadau wa elimu naomba msaada wenu nahitaji kusoma Masters of Arts in Literature ila uwezo kifedha sina. Nisaidieni namna ya kupata sponsor(s) ili niweze kusoma.GPA yangu 3.8
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom