Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Serikali imetangaza kuongezeka kwa ada kwa vyuo vya ualimu, walimu wacheti watalipa tsh 300000 badala ya 200000 ya zamani, na 400000 stashahada kwa walimu wa masomo ya sanaa(art) na 600000 kwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
naomba nijuzeni wana jf hivi mwisho was kupokea maombi ya uhamisho tamisemi ni tarehe ngapi? barua nimeituma tare he 16 mwezi wa 6 nilituma kwa EMS, na ukichelewa deadline yao wanafanyaje...
0 Reactions
0 Replies
773 Views
Jaman me n miongon mwenu yan celew nende wap kwan ktaa nmechoka selectn zenyewe hawa nacte hawatak ku2juz kuw n mwez gan
0 Reactions
0 Replies
685 Views
Habar wana jf,kama unatatzo lolote lnalohusiana na yafuatayo 1. Researches - Marketing researches - Business researches - Academic reseaches - Other researches 2.Company registration...
0 Reactions
1 Replies
938 Views
jamani km unaijua au ulisoma hapo nipe ma infooo na km umechaguliwa ni check
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ktk kucheki kumbukumbu zangu nimegundua vyeti vyangu vya secondary both olevel na A level vimepotea sasa naomba ushauri nn nifanye ili kupata vingine,yeyote ambaye alishapata ttzo km ili.......plz
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kufahamishwa kwanini izi grade zipo tofauti, mfano udsm c yao inaishia 40 na saut c yao mwisho ni 50, unakuta mtu mwenye lower second saut akija udsm kwa maksi zao anakua na upper second...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wandugu nina mwanangu yupo anamaliza sasa hv UDOM (college of informatics and virtual education) ametumiwa hii E- mail baada ya kusoma tangazo la kwamba Barrick wanataka fresh graduates wafanye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
jaman naomba tupeane details za shule hii na tafahamiane hongereni sana
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nina ndugu yangu anaomba mkopo online kila akiingiza M PESA ID yake sehemu husika inamwambia invalid ID wakati kwenye simu inaonekana imetumwa kwao. Afanyeje.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi ukitaka kusoma uganda form 5 ufahuru wake unakuwaje? Na je ukimaliza form 6 kule ukija TZ unaweza kujiunga chuo chochote na mkopo unapewa?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
jamani kwa wale wadogo zangu watakao chaguliwa kujiunga na kidato cha tano lukole high school{ngara-kagera} nawakaribisha sana hapa ckuli....ni shule nzuri yenye waalimu wa kutosha na wenye uzoefu...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Ni kuhusu masomo yangu! Nimejawa na hofu inayonifanya niishi bila raha yaani natetemeka kila wakati,moyo unauma na wakati mwingine nashindwa kupumua vizuri! Hofu yenyewe inanifanya ninachokisoma...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Hi,habari zenu ndugu zangu, Naomba kwa mwenye ufahamu anisaidie...ninataka kuwa kwenye bendi ya muziki....bendi kama zile za msondo,the spirit ya vitalis maembe..nadhani utakua umepata picha...ila...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
The University offers a number of full tuition fee award scholarships to you if you are an exceptionally well-qualified student. Application criteria for scholarships Academic criteria Full...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kama kuna aliesoma au anaesomahiyokozi naomba ajitokeze..kuna vitu natakakujua kutoka jwake
0 Reactions
0 Replies
3K Views
wapendwa wana jf heshma kwenu! me ni mwalimu mpya idara ya secondary kutoka mkoa wa kilimanjaro nimepangwa KIGOMA mwaka huu tar 01-04-2014 yan huwez amim mpaka leo hii nnavyopost hii thrend...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa nujibu wa gazeti la habari Leo la tarehe 26/6/2014 NECTA itakua inatumia alama za mithani ya Mock kama CA kwenye mitihani ya Kidato cha Nne na Sita. Je, hii imeakaaje? Maandalizi ya MOCK...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za leo wanajmvi.naomba nilete uzi huu kwa maana sielewi.nilipata Mkopo kwa mwaka wangu wa masomo 2013-2014 lakini nilipata kwa asilimia ndogo ya 44.na nmekuwa nikitumia boom kujazia ada...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
mwenye kujua mazingira vizuri anijuze ili nipate uwelewa
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom