Wanna jf pole kwa majukumu naomba MTU anayejua mwongozo au mambo ya muhimu kuambatanisha ili kuomba wizara kunibadilishia shule niliyopangiwa kidato cha 5 .nashukru
:fish2: Wana JF naomba msaada wenu tafadhali, mdogo wangu amechaguliwa kwenda KISIWANI SEC -SAME A-Level, kama kuna anayefahamu shule ilipo kule Same naomba anielekeze.
Naomba pia kujua kama...
We really have serious problem at our universities nowdays. Patterns of students available at universities nowdays lack intellectual skills. I think the way they behave reflects the characters of...
hivi ikitokea kukawa na mfumo unaofanana fanana na NECTA kuweka paper la pamoja kuna baadhi ya vyuo itakuwa ni aibu tupu, vitashika mikia miaka yote, mimi naamini aliyepata four au 3 ya mwisho...
African Education system has surprising outcomes. The smartest students pass with 1st Class and get admissions to medical and engineering schools. The 2nd Class students get MBAs and LLBs to...
Ni ajabu na kweli wanafunzi wa diploma mwaka wa kwanza hawajafanya mtihani wa mwaka wa kwanza(brn) mpaka leo hv tatizo ni nini? wandugu kama kuna mwenye info anipe maana cjajua bado na inakuaje...
Tangu ijumaa nakuja mjini kujaza fomu za maombi ya mkopo kwa njia ya mtandao, nalipa sh.2000 kwa saa kenye huduma za internet, bada ya kujaza taarifa zangu kwa usahihi kabisa nimeshindwa ku-Print...
Tanzania ina vijana wengi ambao mpaka wanamaliza kidato cha 4/6 hawajui watakuja/wanapenda kuwa wataalam wa fani gani. Hii ni changamoto kubwa sana katika nchi yetu. Moja ya sababu ni kuhofia...
NECTA imetoa mwongozo wa matumizi ya viwango vya Ufaulu (Aprili 2014) ambao umesambwazwa katika shule zote ze sekondari kupitia kwa Maafisa Elimu wa Mikoa. Kwa mujibu wa mwongozo huo Madaraja ya...
Ndugu wanaJF, wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT) licha ya kuwa na changamoto nyingi katika utafutaji wao wa elimu (hasa kwa kuzingatia kuwa wanasoma na wakati huohuo wanafanya kazi)...
Electronics& telecommunication vs mechanical vs laboratory science kati ya hizo ipi ni nzuri ambayo utamshauri mdogo wako wa form four aende akasome?
Msaada jamani.
Habari zenu wakuu, nashukuru Mungu nimebahtika kupata nafasi ya kuendelea na masomo.
Swali langu ni kuwa nimechaguliwa DIT electronics&telecom lakini mimi sikuichagua na wala siitaki kwa hiyo...
Natumain ni wazma wote wana jf na kama wengne ni wagonjwa poleni..sina meng nahtaj kufahamu mambo mbalimbal kuhusu shule hii zkwepo garama zake kwa mwaka na mahtaji yake kama mwanafnz maana...
Mdogo wangu kachaguliwa kwenda Shule ya wasichana Ashira, Nipo Mbeya nashindwa ni namna gani nitapata Joining instructions ili nimuandae.
Wadau naombeni mnisaidie kama kuna namna.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.