Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Amani kwenu wana JF, Kwa wale tunaoaply kwa kutumia diploma kuna kulipia kupitia mpesa, sasa tcu/nacte kwenye guide book wameweka maelezo ni kama wamekosea, mfano unapiga *150*00# Halafu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
TAMISEMI walitangaza kuwa watatoa ajira 2219 lakini wametoa 1709 tu dah, na mbali na hilo tarehe ya kuriport ni tar 24 hadi 30 mwezi huu huu. Lakini pamoja na hilo wamedai kuwa kuna walimu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nataka kusoma CISCO hapa Bongo,je center gani wana naweza kupata train nzuri na bei nafuu(nitajie na bei kabisa) na mitihani ya CISCO ni kiasi gani?
1 Reactions
17 Replies
14K Views
Hongereni sana ndugu zangu mliokuwa hamjapata ajira. tembelea link hii Advertisements | Pmoralg /ajira/ ===== Ingia hapa http://www.pmoralg.go.tz/menu-data/adverts/ajira/
0 Reactions
41 Replies
11K Views
Wandugu mimi ninatatizo moja tu nataka nisome nifikie malengo yangu tatizo sina hela ya kuniwezesha kusoma diploma. Nataka niendelee kusomea diploma ya geologia ya madini. Kwa mwenye kuweza...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Ingia Hapa ===> Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi Mwaka 2014 | Pmoralg Tanzania
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Kama heading inavyojieleza, ninaomba kufahamishwa kuhusu kozi hizo mbili, juu ya upatikanaji wa ajira na kujiajiri pia, vile vile msuli wake upo vipi kwa chuo cha IFM. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Jamani wanaJF mimi naomba kuuliza, nimelipia mpesa toka mchana lakini sijaletewa ID tatizo nini?
0 Reactions
3 Replies
871 Views
Ni matumaini mko poa. Katika kipindi hiki application za vyuo zinakaribia kuanza, tunaomba mtupe news zote kwa wale watakao kuwanazo. Mfano mdogo ni wale wanaosubiri matangazo kutoka vyuoni moja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu, ni chuo gani hapa Dar kinafundisha kozi ya procurement? Na kinaanza mwezi wa ngapi?
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Wadau, Naomba nijulishwe kuhusu utaratibu wa kubadili combination, say kutoka PCB kwenda HGL ambazo zote zinatolewa kwenye shule hiyo hiyo. Nina maana kwamba mwanafunzi amechaguliwa PCB lkn...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wadau niasidieni mbona OLAS (Online Loan Aplication Systerm) haifunguki mara ikuandikie data base error! kama kuna mtu wao anapita pita humu tafadhali watusaidie. Tarehe ndo zinaenda hivyo.
0 Reactions
0 Replies
705 Views
Natural Secrecy" Is Believed To Exist Arround The Universe, Living Thngs Are Largely Considerd To Be Characterisd By What It Called "Natural Secrecy" Is A Biological Phenomenor That Implies Nature...
0 Reactions
0 Replies
443 Views
habari zenu wadau mm ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu 2014 napenda mnijuzi hivi chuo tutaanza mwaka huu mwezi wa 10 au itakua January mwakani
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani kuuliza siyo ujinga, naomba kufahamishwa kwa mwenye kujua hiyo kozi hapo juu,ina husika kufanya kazi katika maeneo gani mf. kama ni viwandani n.k
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Bandugu kwa anaejua gharama ya hostel za binafsi na vyuo kwa Arusha mjini au maeneo ya karibu na Arusha mjini anisaidie mwenzenu mgeni Arusha mwenyeji wa Dar nmepangiwa field Arusha ambyo ni kwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wana JF? Wadau mimi ni advanced diploma holder in accountancy, sasa nataka kwenda kusoma masters degree kati ya IFM na Mzumbe University na ni masters ya MBA sasa wadau naombeni ushauri...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna dogo langu limepata physics-c biology-b chemst-d english-c civics-c history-c maths-d geogrf-d Vipi hapo wadau anaweza kusoma diploma ya clinical officer au diploma yoyote ya...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Jamani naomba kuuliza nikitaka kubadili vyeti vyangu form 4,6 na chuo kwa mfumo wa Tanzania, niende wapi? Na je, itanigharimu shilingi ngapi? Msaada kwa wanaojua.
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Ndugu zangu naomba mwenye kujua anisaidie kuhusu ada ya post graduate diploma ya education Open na kama wameanza udahili pia na courses za kusoma kwa mtu Wa BA Economics.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom