Wakuu heshima kwenu, naomba mwenye ufahamu anijuze
naomba kufahamu shule nzuri za private za sayansi za kidato cha tano na sita. Itakuwa vema kama nikipata majina ya shule zenye gharama...
Kuna
madudu mengi yamefanyika kwenye selection zilizotoka hivi karibuni
mfano kuna wanafunzi wana div II hawajapangiwa shule,wengine wamepelekwa shule za jinsia tofaut na wao,watu wamepelekwa...
Ni Mwenyekiti wa vijana tawi la NCCR - MAGEUZI Jimbo la Nyamagana Jijini Mwanza ahusishwa na wizi wa fedha za wanafunzi walipanga kutembelea hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Inasemekana alikuwa...
Naomba kujuzwa kwa waliomaliza diploma mwaka 2014 ili kujisajili kwenye CAS ya TCU wanatumia result za kidato cha nne au diploma? nauliza hivi sababu wengine matokeo hayajatoka mpaka sasa na...
Jamani naomba mwenye kujua ada ya post graduate diploma ya education na if usajili umeanza na kozi zinazosomwa kwa mtu Wa BA Economics .Ni kwa Open University of Tanzania plzz
wandugu mimi ni mwl idara ya sekondari,nahitaji mwl anayehitaji kuhamia kilimanjaro(moshi manispaa)tubadilishane.atoke mkoa wa tabora wilaya yeyote.Aksanteni.
ACCTAX FINANCIAL CONSULTANTS conducts review classes at Kisutu girls sec, school from July 2014 for more information call 0653 023805/0769 012203 or visit massawe building Lindi street behind new...
Mm nimuhitimu wa diploma ya masoko na mauzo ( marketing mangement) nimenaliza hii leo nilikuwa naomba mnishauri kwa hii miezi mitatu nisome short course gani ambayo ni nzuri?
jaman hv zile joining instruction zinatolewa baada ya muda gani,?? na zikitolewa huwa unazipatia wapi?? skul uliyomaliza au huko ulipochaguliwa??
plz wakuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.