VODACOM (M_PESA Service) Nahoji
Kati yenu Vodacom na Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya Juu(HESLB) nani Tapeli? Maana kuna matatizo ambayo yaliyokuwa yakileta sintofahamu kwa waombaji...
Jamani nimepangiwa kalangalala f5 iliyopo Geita,sasa cjajua hii shule mazingira yke,hasa upande wa malazi(hostel)! Nimepangiwa ktk mchepuo wa HGL,kwa anayeifahamu vizuri anieleze japo kwa kifupi...
SERIKALI itaajiri walimu wengine wapya wapatao 2,219, kufundisha katika shule za msingi na sekondari nchini. Walimu hao ni mbali na wengine wapya 33,894, ambao wameajiriwa hadi kufikia Mei 30...
Nauza kitabu cha Chemistry.
CHEMISTRY INTERNATIONAL BACCALAURATE. By John Green & Sandru Damji
Mawasiliano 0768594367, 0716488632 husseinmushi8@gmail.com
Wadau wa elimu, kuna wazo linanijia...
Pamoja na kujengwa shule nyingi za sekondari Tanzania, bado idadi ya wanafunzi wanaomaliza darasa la saba/kidato cha nne na kukosa nafasi ya kidato cha...
Wanajmvi !
Msaada wako hapo !
Hatua zipi zakufuata ili Kubadilishiwa shule !
PCB
------------ update ------------
NIMEPATA TAARIFA KWAMBA NI COMBINATION MPYA ! KTK SHULE HIYO !
Leo ni siku ya furaha kwangu na kwa wanasua wote kumpata kiongozi tunayemwamin,mtunayempenda ,tuliyempa dhamana ya kuwa rais katika chuo chetu.
Kumbuka sera zako ahadi ulizo wahaidi wanasua...
Nashangaa waziri amezishupalia shule za binafisi, zenu zimewashinda sasa mnataka kuziharibu za binafsi, thhis will not be accepted. Mmepanua milingoti ya goli, magoli yameingia mengi mmeshindwa...
Kama mnavyojua jamaani mwezi huu ni mishemishe za kuomba nafac kusoma elimu ya juu pamoja na mkopo!naombeni mnijuze kozi zenye "loan priority" pale NIT!
Wana Jf...Baada ya kampeni za urais zilizodum kwa takribani wiki moja, leo ndo siku ya upigaji kura. Ni faraja kubwa kwa wanaharakat wenzang hapa chuon kwan kuna misururu mirefu ya wapiga kura...
Wadau nimepata shida kuchambua mchango wa wasanii wa bongofleva katika maendeleo ya ushairi wa kiswahili, Katika nyanja za kimaudhui, na hata fani yake.
Je umeongeza mambo mapya katika ushairi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.