Habari Wakuu!
Naomba kwa anayejua juu ya hii kozi huwa inatolewa kwa degree kwa vyuo gani vingine hapa nchini mbali na Mzumbe university,
Pia kazi zake ni zipi baada ya mwamafunzi kumaliza...
Kwanza naanza kwa kuwtakia hali pia kwa ushirikiano wen mzur wana JF.mimi nlkuwa napenda kufaha vitabu vpi vinahitajika vya HGE na mwandishi wa icho kitabu na edition mwaka msaada kwa anaye...
Wakuu nipo kwny hali mbaya mno yan ndo nakuja kujua juz mwisho wa kupeleka application form ni 20 june hlf shule walim hawapo(shule imefungwa) nimeongea na academic master kanizingua sasa cjui...
Hellow tax Gurus,
I have just read the withholding tax publication from the TRA website and could not figure out whether withholding tax could be deducted from security sevices.
Do we have to...
STUDY IN UK,CANADA, USA, FRANCE, CHINA,INDIA OR GERMAN
Up to 100% Scholarship Offered to Qualified Tanzanian Students
For Admission and Application Procedures,
Call Anada Overseas Education on...
wanafunzi wapatao 68000 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano, habari imetolewa na waziri wa elimu kwa vyombo vya habari,na waziri katangaza wanafunzi kuripoti shuleni kuanzia tarehe 10 july...
NAFASI ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO ZATANGAZWA MUDA HUU--16800 WAKOSA SHULE.SOMA
- - - - -Nafasi za kujiunga na kidato cha nne mwaka 2014- kwa wanafunzi waliomaliza mwaka jana zimetangazwa rasmi...
Aiseee ! Wacha nifurahi mwalimu miye! Kwa walosoma uzi wangu wa kuchoka mwili na roho watakuwa wanaelewa nini kinachoendelea hapa!........ ndo hivyo tena nshahama huko porini nipo kituo...
Ndugu yng anataka aende pale dit kwa private sponsorship kamaliza form 4 2013 na ana div 2,ss mi nimemshaur akachukue civil eng ambayo naamini ipo bomba sana kuliko koz zote pale dit lkn yy...
Habari watanzania wenzangu! Tafadhasri changamkieni fursa hii hapa ya scholarship katika chuo bora kabisa barani afrika (and the world at large). For more infos please visit this link: Alexandria...
Leo wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma ilitakiwa waanze mitihani yao ya kumalza semister ya pili, walimu wamegoma kutoa mitihani wakidai semister ya kwanza hawakulpwa hela za kusimamia na kusahisha.
Habar Wana Jamvi
Kwa wanaoimba mkopo Mara ya pili loan board ni kiasi gan wanalipa ? Kwa yule alyekosa last year n anaomba tena je analipa kias gan?
Ahsante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.