Naomba msaada wa kurekebisha form za OLAS nimekosea kujaza mwanzo kabisa badala ya kuchagua LOCAL UNDERGRADUATE nimechagua LOCAL POST GRADUATE hivyo nashindwa kujaza kipengele cha mwisho msaada please
Wadau mm n mwanafunz wa mwaka wa pili chuo cha civil engineer sasa kuna inshu ya TITTlE kuhusu project kwa level ya Diploma naweza kufanya project gan.?? Unaweza nipa idea au ukadondosha number...
Naomben msaada juu ya utofaut wa open university na hv vyuo vikuu vya kawaida! afu naombeni kwa anaevifahamu hv vyuo vikuu huria anitajie.nawasilisha hoja!
Wana JF bro wangu anakijana wake anamaliza darasa la saba mwaka huu sasa hajui utaratibu wa kupata nafasi kwenye shule ya Jitegemee ulivo na kwa ambae anauelewa na kitu hicho naomba msaada wenu...
Waku labda mi cijaelewa masharti ya bodi ya mikopo elimu ya juu 2014/2015 kuna kipengele kinasema aplicants must be completed diploma more than three year ago wana maana gan? Je watu wenye sifa...
Nilifel form four nimejitahidi kurudia mtihan kama private candidate mara2 nimeshindwa nilikua naomba mawazo yenu.....
Nawaza niende nurse one year course private nikimaliza nijiunge na mafunzo...
Wana Jf kwa mtu yeyote ambaye hajui aanzie wapi, aishie wapi kujaza fomu za mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB). anaweza kuwasiliana nami kwa 0785 140 370 au fika Banana Karibu na Airwing...
Nimestushwa nakusikitishwa Sana ucku Huu watoto wetu hasa wasichana wanalazmishwa ngono Na baadhi ya askari.nimepokea sim ucku Huu my sissy huko oljoro anafanyiwa visa Na askar hata anataman...
Naombeni msaada kwa anayejua ni website gani ninaweza kupata kudownload maswali ya biology mengi na yenye majibu kwa kutumia simu.Kwasababu zingine nimejaribu haiwezekani ninaambiwa file format...
Mfumo wa elimu Tanzania sijui itakua lini, serikali inashindwa nini kusomesha bure? Asilimia kubwa ya wanafunzi wanaofaulu vijijini wengi wanashindwa kusoma kutokana na wazazi wao kuwa na maisha...
Mie ni mwalimu wa sekondari masomo Bios & chem (A&O) nahitaji mtu wa kuja sgda municipal nami niende moro manicipal mawasiliano 0767722929, 0783722929 ahsante.
Kuna myth imekua ikiendelea kua baadhi ya vitu ni kipaji mtu anazaliwa nacho kama kuimba, kuchora etc...
nsiongelee kuimba japo yeyote anaweza kuimba, leo naongelea kuchora.. Mtu yeyote yule...
wizara ilitangaza nafasi za masomo ila website ikawa haifunguki,kwa sasa website ya kilimo www.kilimo.go.tz inafunguza na unaweza download form zikiwa zimeambatana na maelezo kamili ya sifa za...
Ndugu zanguni, natamani kujiunga na program ya Masters of Social Work (Hybrid mode) inayotolewa na OUT.
Ninaomba kujua kuhusu muundo wa ufundishaji kwa Mfumo huu wa hybrid.
Chanzo Kimoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.