Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Jamani samahani kwa hili,ni mdogo wangu anaulizia kuhusu majina ya watakaochaguliwa ualimu 2014/2015 yatatangazwa lini? Kwa anaejua,#nakuomba unijulishe, http://www.moe.go.tz
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Msaada wadau mwenye taarifa ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kwenda kufanya MATRICULATION chuo cha madini Dodoma, naomba anijuze maana walisema wanatoa mtandaoni tarehe 30/5/2014 lakini mpaka...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Habari Wana Jamii Forums,.. Kuna hili suala la rushwa ya ngono ambalo limekithiri vyuoni. Baadhi ya wahadhiri wa vyuo vikuu wanalazimisha mahusiano ya kimapenzi na wanafunzi wao, inapotokea...
1 Reactions
34 Replies
6K Views
Mwaka huu ada sh ngapi chuo kikuu huria kwa undergraduates na foundation course? Najiandaa kujiunga
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Dear friends and fellow members. I just got this article from the African Executive newspaper. Someone called Ojjo is not happy with the Ugandan grading system as it produces people who are 51%...
0 Reactions
0 Replies
936 Views
naomba kujuzwa kuhusu kozi ya molecular biology and biotechnology ,in terms of ajira na maslahi yake pia
0 Reactions
0 Replies
941 Views
Wakuu mwaka huu kuna malalamiko mengi sana kutoka kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwamba pesa za kujikimu(boom) limechelewa sana kiasi cha kusababisha baadhi ya vyuo kusogeza mbele kalenda ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa wale wanazuoni wa Masters/degree wanaohitaji hizo huduma zipo na unafanyiwa kwa bei nafuu nipm. Nawakilisha. Tete'a'tete
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za leo? Nomba msaada wenu wa mawasiliano ya simu au email ya Mkuu wa shule ya Lyamungo Moshi.Pia naomba direction ya namna ya kufika shuleni hapo. Nasubiria majibu yenu. Asanteni sana..!!
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Naomba kujua hilo wakuu,maana nahic nataka kuibiwa kamshahara kangu kijanjajanja!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau naomba kama kua anaejua lini selections zitatoka . Tumesubiri sana, au ndo kawaida zinachelewaga hivi?
0 Reactions
84 Replies
29K Views
nipo moshi mjini vipi wenzangu ni mwalimu yupi unayemkumbuka shuleni sana enzi ukiwa sekondari? Na alifanya nini? Mimi pale anna mkapa namkumbuka nkya yaani...........simalizii.vipi rau,mji...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana jf et huu mfumo wa nacte utaanza mwaka gan kutumika kwenye vyuo vya ualimu?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf, ningependa mnisaidie tofauti kati ya mfanyabiashara na mjasiliamali. 'JFE' juu.....!.
0 Reactions
1 Replies
825 Views
Kwa aliye tayari ani pm tuanze mchakato.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nipo Moshi mjini vipi wenzangu ni mwalimu yupi unayemkumbuka shuleni sana enzi ukiwa sekondari? Na alifanya nini? Mimi pale Anna Mkapa Sekondari namkumbuka Nkya yaani...........simalizii.vipi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi ngoja ni share na nyie kidgo..kuna chuo cha urubani ambacho kipo Airport pale, Kinaitwa Tanzania Pilot Trainging centre, nikaona nitembee nijue gharama zake na nk-- basic course wenyewe...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Monday, June 9, 2014 Kenyan opens Kiswahili School in Australia 0...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kiongozi wa kanisa katoliki nchini amesema elimu isiwe bidha. Aliyasema hayp wakati akizindua mpango wa kuanzisha chuo kikuu cha Marian. Source ITV habari saa mbili usiku leo. Wakatoliki...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom