Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Nahitaji kujua kuhusiana na nini kinahitajika haswa katika swala la msuli coz huwa naskia tetesi za welcom paper ambalo watu huishia kupata negative, 4, 0.5,0. please naomba msaada wa nini nifanye...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Jaman yani me mwenzenu naumiza kichwa ivi necta 4m 4 wa 2o14 watapiga penalt math au imefutwa?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina mdogo wangu anemaliza kidato cha nne 2013 na matokeo amepata Div III ya 29 Civ-D, Hist-D, Geog-D , chem-D , Bios-D , Math-C, Kisw-B+, Eng-B & Phy-E Chaguo ni kwenda chuo cha serikali either...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mkuu wa shule ya sekondari Igoma iliyoko jijini Mwanza bwana Bregrey j. Nyakyuma amesemekana kuongoza shule kwa kuwagawanya makundi walimu wake huku akionesha udhaifu mkubwa kwa upande wa walimu...
1 Reactions
5 Replies
6K Views
Wana jamvi, ninamatumaini yangu kuwa ni wazima. Mimi nimemaliza diploma ya computer engineering nikabahatika kupata ila ya mkataba katika kampuni moja lakini pia mwaka jana niliomba chuo...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Jaman marafk zangu kama umesomea shule ya sec Intela eaomben kujua kama teacher mwabungulu bado yupo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF. samahani naomba kuuliza eti kuna uwezekano wa kupata kazi ukiwa na diploma ya Taxation na ni field zipi waweza fanya kazi kwa course hiyo..
0 Reactions
0 Replies
2K Views
jaman wana jf,naomben msaada wenu mm nimehitimu kidato cha nne na nimepata dv iii 29 lakin comb yangu n CBG but alama za ufaulu m chemistry C,biologyB na geography D.je?nitachaguliwa kuendelea na...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Nimepata habari za kuaminika toka kwa DEO mmoja mkoani RUVUMA kwamba Walimu wapya wote waliokosa Mshahara mwezi Aprili, watapewa Dabo mwezi huu yaani Mshahara wa mwezi Aprili na Mei. Vipi walimu...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Mi mwalimu wa secondary mpwapwa nahitaji mwalimu wa kubadilishana nae kutoka wilaya kilombero, aliyetayari anitafute namba 0782686355
0 Reactions
1 Replies
1K Views
HESHIMA MBELE KWENU HONGERENI KWA WALE MLIOFANYA VIZURI KWENYE HAYA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA NA DIPLOMA NA WENGINE POLENI ... NAIKUMBUKA ILE FURAHA NILIKUWANAYO SIKU KAMA YA LEO KWANZA...
3 Reactions
24 Replies
27K Views
Natafuta shule ya private A-level yenye comb za CBG AU CBM, kwa anayezijua naomba msaada please!
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu. Zikiwa zimesalia takribani wiki mbili hivi watu kumalizia test two zao ili wapate course work nakuingia UE, inayoanza mnamo tar 23 JUNE - 4 JULY ,kipindi hiki huwa nikigumu...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Wadau, naomba kujua unaposema bongo movie ina maana gani?
0 Reactions
3 Replies
4K Views
mwenye kitabu cha healthly food anisaidie
0 Reactions
2 Replies
676 Views
Naombeni namba za ofisi ya makao makuu wizara ya afya na ustawi wa jamii au mtumishi wa hapo wizarani nina shida nazo
0 Reactions
2 Replies
4K Views
kozi za lab sciences, veterinary md na molecular biology and biotechnology je ipi ina wigo mpana ktk ajira nna point 3.5
0 Reactions
4 Replies
1K Views
this post was deleted.
0 Reactions
0 Replies
801 Views
Jaman naomben msaada kwa yeyote anaefaham selection za kujiunga na course za afya zitafanyika mwezi gan?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom